Ni dhahiri kuwa CHADEMA wameikataa ofa ya kupewa wabunge wa mezani walioahidiwa na CCM. Maana sasa wamechachamaa

Ni dhahiri kuwa CHADEMA wameikataa ofa ya kupewa wabunge wa mezani walioahidiwa na CCM. Maana sasa wamechachamaa

Ni kweli, katiba kwa njia ya amani hawataipata, lakini hata sisi tunajua katiba ya maridhiano itakuwa ya kisanii. Katiba ya kweli ya wananchi itapatikana aidha kwa machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi fullstop.
Labda mwaka 2100
 
Lissu hahongeki mkuu, jamaa amenyooka kama rula na hajawahi kukubali kuwa sehemu ya huo "upuuzi" unaoitwa maridhiano. Haki haiombwi bali inadaiwa.
TAL aliwahi kukataa rushwa za watawala wote; awamu ya 3, 4, na 5. Hana bei huyu ndugu
 
Kauli za kiongozi mwandamizi wa CCM ndugu A. Kinana kuwa Chadema wanakiuka misingi ya maridhiano ni picha kuwa Chadema wanashusha maneno mazito yanayoumiza umtima.

Sakata la bandari limeibua mengi. Huko mikoani Chadema wanashambulia majukwaa . Wanaongea mengiii kiasi cha kuonekana wanakiuka maridhiano. Picha ni kuwa sasa hata ubunge wa ofa hawautaki tena kama hapo awali, ambapo walionekana kufurahia fursa na kuanza kurandaranda majimboni.

Sasa hivi wapo busy kumwaga sumu...
Hakuna kwenye maridhiano kulikuwa na agenda ya ubunge wa mezani.. Tusipotoshe tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keyboard worrier!
Mwendazake alisema mara moja tu hataki habari ya katiba mpya hao wananchi hawakuwepo?
Hoja yako ni nini?

Unauliza swali ambalo jibu unalo..

Si walikuwepo..!!?

Eehe, then hoja yako wewe ni nini?
 
Yako wapi sasa? Kuna vitu vingine ni vya kijinga hata kama vinafanywa na mtu mwenye akili.
Keyboard worrier!
Mwendazake alisema mara moja tu hataki habari ya katiba mpya hao wananchi hawakuwepo?
 
Back
Top Bottom