Ni dhahiri kuwa Rostam Azizi na Kundi lake ndio waliodhamini safari ya Rais na kundi lote lile. Watanzania tukae mkao wa kutafunwa

Huyu ni mtu wa mipango

Mzee wa biashara za kimataifa,

Mzee wa connection

Syo mtu analialia wakati hajawahi hata kulima nusu heka ya matikiti

Ova
 
Kulialia tu kulialia tu oh tumeibiwa oh nyanganyaga
Oh tumeibiwa,yeye ashafanya hustle gani zaidi ya kulialia
Naichukia mijitu kutwa kulalamikaaa tu,

Ova
 
Umasikini mbaya sana. Yaan badala ya kujifunza namna gani unaweza kufikia level ya Rostam ww unaanza kumchukia
Jizi lazima lichukiwe!

Huwezi kumdhamini Rais wa nchi kienyeji enyeji lazima kuna nia ovu iliyojificha!

Katoa wapi hela za kumfadhili mkuu wa nchi na Amiri Jeshi wa majeshi ya nchi?

Katoa wapi hizo hela!?

Let us see the papers!
 
Nani atafunwe!! Utatafunwa peke yako aisee
 
unaweza kufikia level ya Rostam ww

By the way huyo Rostam ana LEVEL gani zaidi ya ujambawazi tu na WIZI na UUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA?

Ibilisi yule anayejificha nyuma ya mgongo wa serikali ili kuingiza ajenda zake mule! Hana level yoyote ile!

Ati level? Poooh!! Jini lile!
 
Umasikini mbaya sana. Yaan badala ya kujifunza namna gani unaweza kufikia level ya Rostam ww unaanza kumchukia. wewe ni MCHAWI.
Issue ni kuwa Rostam anatia sahihi hapo kama mtendaji yupi wa serikali? Kama deal binafsi, Rais na hizo bendera za nini?

 
Umasikini mbaya sana. Yaan badala ya kujifunza namna gani unaweza kufikia level ya Rostam ww unaanza kumchukia. wewe ni MCHAWI.
Sasa mtu anaitwa Nyankurungu unategemea awaze kitu gani?
 
Umasikini mbaya sana. Yaan badala ya kujifunza namna gani unaweza kufikia level ya Rostam ww unaanza kumchukia. wewe ni MCHAWI.
Wewe ni zaidi ya mchawi.

Ni wapi alipomchukia Rostam?
Unataka na yeye akafanye ujambazi na unyang'anyi kama anaofanya Rostam, halafu utafurahi?

Hata hivyo, kwa nini usimwambie huyo mama ampishe Rostam kama unaona Rostam anakufaa zaidi. Mijitu kama wewe ndio mnaonunuliwa kwa peremende, halafu mnauza hata watoto na wake zenu.

Hopeless kabisa.
 
Ni malalamiko

Asilimia kubwa tunaishia kulalamika tu

Tunafanya nn na sisi tuingie kwenye

Mfumo ambao wao wanaushikilia

Na familia zao

We pambana kwa style yako tu

Ova
Sasa hapo maana yake hakuna haja ya kuwa na serikali.
Serikali kazi yake ni kuleta maendeleo kwa watu wake kupitia Kodi wanazotoa. Ikiwa Kuna kundi linachukua hizo kodi serikali inapaswa kupambana nalo.
Kusema watu waingie kwenye mfumo wote wa kula hivyo, si itakua failed state Kama Somalia.
Nchi zote zenye Maendeleo unazoona Ni sababu serikali zao zipo makini kwenye mambo Kama hayo
 
Kuingia kwenye mfumo,namanisha

Mnabanana huko huko ikiwezekana

Ukiwa huko unawatoa

Ova
 
Umasikini mbaya sana. Yaan badala ya kujifunza namna gani unaweza kufikia level ya Rostam ww unaanza kumchukia. wewe ni MCHAWI.
We mamayo....una akili kweli?

Hujiulizi mtu atumie bil 7 bure bila mpango nyuma ya pazia?
 
UNAKAMULIWAJE SASA WEWE MLALA HOI?
Wewe kwa akili ya kuvukia barabara huwezi kuelewa.

Endelea kuvuka barabara vizuri usigongwe gari ili baadae uwe hai kushuhudia tunachokisema humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…