Ni dhahiri kuwa Rostam Azizi na Kundi lake ndio waliodhamini safari ya Rais na kundi lote lile. Watanzania tukae mkao wa kutafunwa

Ni dhahiri kuwa Rostam Azizi na Kundi lake ndio waliodhamini safari ya Rais na kundi lote lile. Watanzania tukae mkao wa kutafunwa

Mkuu; yaani nchi hii kati ya watu ambao huwa ninawaona ni wazalendo kabisa ni pamoja na huyu mtu. Halafu sasa yuko smart na mstaarabu sana. Akiona mnamletea za kuleta, anatoweka au anakaa pembeni. RA mimi huwa namuona kati ya watu muhimu sana kwenye nchi hii; sawa tu kama alivyokuwa Hayati R. Mengi.

Huyu mtu amerudi kufanya kazi naomba sana watu sasa wasimbugudhi tena; wamwache afanye kazi.
Huyu ni mtu wa mipango

Mzee wa biashara za kimataifa,

Mzee wa connection

Syo mtu analialia wakati hajawahi hata kulima nusu heka ya matikiti

Ova
 
Punguza kulalamika jamaa. Unalalamika sana aisee. Unasahau umri wako unaenda na siku hazirudi nyuma! Jaribu kupambania life lako sometimes sio kulalamika tu kila siku.

Eti tukae mkao wa kutafunwa, utafunwe nini wewe. Kwann kila kitu unakiona kwenye negative tu aisee, ni tabia mbaya sana. Yaani wewe kwakuwa tu ulikuwa na mahaba na Magu basi automatically unajiweka kwenye nafasi ya kumchukia mama na matokeo yake unachukia kila anachofanya, unajisababishia magonjwa ya moyo bure we jamaa. Kulalamika hakukusaidii kunakuzeesha na kukupa simanzi za kudumu.

Simama anza kuwaza positive na kama hii itakushinda basi kaa kimya. Focus kwenye afya yako na familia yako
Kulialia tu kulialia tu oh tumeibiwa oh nyanganyaga
Oh tumeibiwa,yeye ashafanya hustle gani zaidi ya kulialia
Naichukia mijitu kutwa kulalamikaaa tu,

Ova
 
Umasikini mbaya sana. Yaan badala ya kujifunza namna gani unaweza kufikia level ya Rostam ww unaanza kumchukia
Jizi lazima lichukiwe!

Huwezi kumdhamini Rais wa nchi kienyeji enyeji lazima kuna nia ovu iliyojificha!

Katoa wapi hela za kumfadhili mkuu wa nchi na Amiri Jeshi wa majeshi ya nchi?

Katoa wapi hizo hela!?

Let us see the papers!
 
Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.

Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?

Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno.

Nani atafunwe!! Utatafunwa peke yako aisee
 
unaweza kufikia level ya Rostam ww

By the way huyo Rostam ana LEVEL gani zaidi ya ujambawazi tu na WIZI na UUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA?

Ibilisi yule anayejificha nyuma ya mgongo wa serikali ili kuingiza ajenda zake mule! Hana level yoyote ile!

Ati level? Poooh!! Jini lile!
 
Umasikini mbaya sana. Yaan badala ya kujifunza namna gani unaweza kufikia level ya Rostam ww unaanza kumchukia. wewe ni MCHAWI.
Issue ni kuwa Rostam anatia sahihi hapo kama mtendaji yupi wa serikali? Kama deal binafsi, Rais na hizo bendera za nini?

1651234230176.png
 
Umasikini mbaya sana. Yaan badala ya kujifunza namna gani unaweza kufikia level ya Rostam ww unaanza kumchukia. wewe ni MCHAWI.
Sasa mtu anaitwa Nyankurungu unategemea awaze kitu gani?
 
Umasikini mbaya sana. Yaan badala ya kujifunza namna gani unaweza kufikia level ya Rostam ww unaanza kumchukia. wewe ni MCHAWI.
Wewe ni zaidi ya mchawi.

Ni wapi alipomchukia Rostam?
Unataka na yeye akafanye ujambazi na unyang'anyi kama anaofanya Rostam, halafu utafurahi?

Hata hivyo, kwa nini usimwambie huyo mama ampishe Rostam kama unaona Rostam anakufaa zaidi. Mijitu kama wewe ndio mnaonunuliwa kwa peremende, halafu mnauza hata watoto na wake zenu.

Hopeless kabisa.
 
Ni malalamiko

Asilimia kubwa tunaishia kulalamika tu

Tunafanya nn na sisi tuingie kwenye

Mfumo ambao wao wanaushikilia

Na familia zao

We pambana kwa style yako tu

Ova
Sasa hapo maana yake hakuna haja ya kuwa na serikali.
Serikali kazi yake ni kuleta maendeleo kwa watu wake kupitia Kodi wanazotoa. Ikiwa Kuna kundi linachukua hizo kodi serikali inapaswa kupambana nalo.
Kusema watu waingie kwenye mfumo wote wa kula hivyo, si itakua failed state Kama Somalia.
Nchi zote zenye Maendeleo unazoona Ni sababu serikali zao zipo makini kwenye mambo Kama hayo
 
Kuingia kwenye mfumo,namanisha

Mnabanana huko huko ikiwezekana

Ukiwa huko unawatoa

Ova
 
Umasikini mbaya sana. Yaan badala ya kujifunza namna gani unaweza kufikia level ya Rostam ww unaanza kumchukia. wewe ni MCHAWI.
We mamayo....una akili kweli?

Hujiulizi mtu atumie bil 7 bure bila mpango nyuma ya pazia?
 
UNAKAMULIWAJE SASA WEWE MLALA HOI?
Wewe kwa akili ya kuvukia barabara huwezi kuelewa.

Endelea kuvuka barabara vizuri usigongwe gari ili baadae uwe hai kushuhudia tunachokisema humu.
 
Back
Top Bottom