mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Huyu ni mtu wa mipangoMkuu; yaani nchi hii kati ya watu ambao huwa ninawaona ni wazalendo kabisa ni pamoja na huyu mtu. Halafu sasa yuko smart na mstaarabu sana. Akiona mnamletea za kuleta, anatoweka au anakaa pembeni. RA mimi huwa namuona kati ya watu muhimu sana kwenye nchi hii; sawa tu kama alivyokuwa Hayati R. Mengi.
Huyu mtu amerudi kufanya kazi naomba sana watu sasa wasimbugudhi tena; wamwache afanye kazi.
Mzee wa biashara za kimataifa,
Mzee wa connection
Syo mtu analialia wakati hajawahi hata kulima nusu heka ya matikiti
Ova