Ni dhahiri kuwa Rostam Azizi na Kundi lake ndio waliodhamini safari ya Rais na kundi lote lile. Watanzania tukae mkao wa kutafunwa

Unalalamika sana, sukuma gang mnatia aibu sana. Badala upambane kufikia level kama za RA wewe umekazana na kutunza legacy uchwara. Pole anyway ndiyo maisha. Mwisho mkao wa kutafunwa kaa wewe itatosha
Mavi yamejaa kwenye ubongo.
 
Jamaa anaonekana ni mstaarabu sana halafu hapendi ubabaishaji na wala hapendi kubabaishwa pia
 
Mange anasema ndio Mastermind wa mkataba wa bandari
 
Huo ndo ukweli mleta mada, serikali awamu ya 6 na ile ya JK zote zilikumbatia/zinakumbatia mafisadi...muda utasema!.
 
Aisee hii nchi sijui itakuwaje. Yaani namlaumu sana Dkt Magufuli kufariki, hivi nani alimtuma kufa??? Ona sasa nchi yetu inauzwa jamani inasikitisha sana.
 
duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…