Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #141
Mavi yamejaa kichwaniUtakufa kwa kihoro wewe. Kubalini matokeo tu enzi zenu zimepita kama hukuweka akiba enzi zenu zile utaliwa kweli siyo mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mavi yamejaa kichwaniUtakufa kwa kihoro wewe. Kubalini matokeo tu enzi zenu zimepita kama hukuweka akiba enzi zenu zile utaliwa kweli siyo mchezo
Mavi yamejaa kwenye ubongo.Unalalamika sana, sukuma gang mnatia aibu sana. Badala upambane kufikia level kama za RA wewe umekazana na kutunza legacy uchwara. Pole anyway ndiyo maisha. Mwisho mkao wa kutafunwa kaa wewe itatosha
Bora usingepost kitu ukaenda kunya maviHuna akili wewe, ndiyo maana unaandika kwa herufi kubwa. Utakuwa sukuma gang siyo bure
Jamaa anaonekana ni mstaarabu sana halafu hapendi ubabaishaji na wala hapendi kubabaishwa piaWenye roho za kishetani kama akina Nyankurungu2020 wataelewa basi?
Miaka ya 1990 nilikuwa nafanya Biashara ya kuuza ngozi na mnunuzi mkubwa alikuwa ni Rostam Aziz. Tulikuwa tukipeleka ngozi, wasaidizi wake (ngozi nyeusi) wanatupiga cha juu kwa kupunguza uzito au kuchelewesha malipo hadi utoe chochote.
Basi ukitaka Rostam Aziz awe mbogo, basi akute mtu anadhulumiwa au anazungushwa kwa namna yoyote ile
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hii nchi sijui itakuwaje. Yaani namlaumu sana Dkt Magufuli kufariki, hivi nani alimtuma kufa??? Ona sasa nchi yetu inauzwa jamani inasikitisha sana.Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.
Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?
Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno.
duh!Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.
Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?
Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno.