Ni dhahiri kuwa Rostam Azizi na Kundi lake ndio waliodhamini safari ya Rais na kundi lote lile. Watanzania tukae mkao wa kutafunwa

Ni dhahiri kuwa Rostam Azizi na Kundi lake ndio waliodhamini safari ya Rais na kundi lote lile. Watanzania tukae mkao wa kutafunwa

Unalalamika sana, sukuma gang mnatia aibu sana. Badala upambane kufikia level kama za RA wewe umekazana na kutunza legacy uchwara. Pole anyway ndiyo maisha. Mwisho mkao wa kutafunwa kaa wewe itatosha
Mavi yamejaa kwenye ubongo.
 
Wenye roho za kishetani kama akina Nyankurungu2020 wataelewa basi?

Miaka ya 1990 nilikuwa nafanya Biashara ya kuuza ngozi na mnunuzi mkubwa alikuwa ni Rostam Aziz. Tulikuwa tukipeleka ngozi, wasaidizi wake (ngozi nyeusi) wanatupiga cha juu kwa kupunguza uzito au kuchelewesha malipo hadi utoe chochote.

Basi ukitaka Rostam Aziz awe mbogo, basi akute mtu anadhulumiwa au anazungushwa kwa namna yoyote ile

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anaonekana ni mstaarabu sana halafu hapendi ubabaishaji na wala hapendi kubabaishwa pia
 
Mange anasema ndio Mastermind wa mkataba wa bandari
 
Huo ndo ukweli mleta mada, serikali awamu ya 6 na ile ya JK zote zilikumbatia/zinakumbatia mafisadi...muda utasema!.
 
Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.

Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?

Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno.

Aisee hii nchi sijui itakuwaje. Yaani namlaumu sana Dkt Magufuli kufariki, hivi nani alimtuma kufa??? Ona sasa nchi yetu inauzwa jamani inasikitisha sana.
 
Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.

Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?

Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno.

duh!
 
Back
Top Bottom