Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Lini aliacha kufanya kazi? Huyo ndio engine ya CCM, maraisi wote aliwaweka kiganjani kwakeMkuu; yaani nchi hii kati ya watu ambao huwa ninawaona ni wazalendo kabisa ni pamoja na huyu mtu. Halafu sasa yuko smart na mstaarabu sana. Akiona mnamletea za kuleta, anatoweka au anakaa pembeni. RA mimi huwa namuona kati ya watu muhimu sana kwenye nchi hii; sawa tu kama alivyokuwa Hayati R. Mengi.
Huyu mtu amerudi kufanya kazi naomba sana watu sasa wasimbugudhi tena; wamwache afanye kazi.