Ni dhahiri kuwa Rostam Azizi na Kundi lake ndio waliodhamini safari ya Rais na kundi lote lile. Watanzania tukae mkao wa kutafunwa

Mkuu; yaani nchi hii kati ya watu ambao huwa ninawaona ni wazalendo kabisa ni pamoja na huyu mtu. Halafu sasa yuko smart na mstaarabu sana. Akiona mnamletea za kuleta, anatoweka au anakaa pembeni. RA mimi huwa namuona kati ya watu muhimu sana kwenye nchi hii; sawa tu kama alivyokuwa Hayati R. Mengi.

Huyu mtu amerudi kufanya kazi naomba sana watu sasa wasimbugudhi tena; wamwache afanye kazi.
Lini aliacha kufanya kazi? Huyo ndio engine ya CCM, maraisi wote aliwaweka kiganjani kwake
 
Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.

Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?

Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno.

Huyu tang kipind cha Mwendazake alikua kweny line!!
 
Kwa hiyo uthibitisho kuwa katiba iliyopo haifai ni wananchi kufa?Kwamba kama wananchi wanapumua basi katiba iliyopo ni bora sana na haina tatizo?
SEMA KUNA MAMBO YA KUREKEBISHA TU MACHACHE LAKINI MMEKOMAA UTAFIKIRI ILIYOPO HAIFANYI KAZI MBONA ILIPOANDIKWA HAMKUIKATAA? YAANI WEWE HUNA TOFAUTI NA NDOTO ZA KILA MWANAMKE MVIVU KUTAKA KUOLEWA NA TAJIRI
 
Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.

Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?

Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno.

Urafiki wa Rostam na serikali ya ccm ulianza kitambo kabla na wakati wa enzi ya mwendazake. Unakumbuka maneno ya Magufuli pale Morogoro wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha Rostam? Au pale Kigamboni akizindua Taifa Gas?

Pia ukumbuke Magufuli alikuwa mkumbatia mafisadi ndiyo maana Rostam alimwendesha Lowasa hadi Lumumba kwa Magufuli ili arudishwe kundini waendelee kuifisadi nchi kwa pamoja
 
according to mkwere japo sikubaliani naye kabisaa ni kuwa '...usipokubali kuliwa japo kidogo basi wewe huli kabisaa na mwishowe utakufa njaa…….' hivyo usikute hilo li-shiraz linawatafuna
 
Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.

Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?

Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno.

Ardhi ipo tele Tanzania. Shughulikia na mambo yako kwanza, ukikaa sawa kiuchumi kelele hizo hazitakuwepo
 
'…Popote ulipo umauti tutakufikishia hata kama upo kwenye ngome madhubuti…'- Qur an kareem
Uzinduzi wa kiwanda chake cha Morogoro ndicho kitovu cha kuwa na Rais wa bila kuchaguliwa na Wananchi.
 
Sijui inamsaidia nn kila uchao kufungua nyuzi, sijui wanahisi hapa JF ukifungua nyuzi nyingi kuna mgao wa pesa au la.

Yaan badala ya kufanya kazi sisi ni malalamiko kila siku.
Exactly, maana ukilialia haitobadili kitu

Apambane aingie kwenye mfumo na wee

Ova
 
Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.

Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?

Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno.

Rostam huwa haishi kwa hasara hata dak moja, Igunga kawaachia nyumba za tembe tupu
 
Hukusikia hata hayati aliwahi kukiri kuwa huwa anapigia simu Rostam kumuomba mchango??
 
Mkuu; yaani nchi hii kati ya watu ambao huwa ninawaona ni wazalendo kabisa ni pamoja na huyu mtu. Halafu sasa yuko smart na mstaarabu sana. Akiona mnamletea za kuleta, anatoweka au anakaa pembeni. RA mimi huwa namuona kati ya watu muhimu sana kwenye nchi hii; sawa tu kama alivyokuwa Hayati R. Mengi.

Huyu mtu amerudi kufanya kazi naomba sana watu sasa wasimbugudhi tena; wamwache afanye kazi.
Huyu ni tapeli tupu
 
Back
Top Bottom