kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,528
- 6,856
Ukiona yanayo tokea, badhasha, furaha inayoambatana na mapokezi ya Wagombea udiwani, ubunge na Urais kupitia Chadema na ACT wazalendo unagundua yafuatayo.
- wanainchi walikua na kiu ya kusikia Sera mbadala za upinzani ,
- kuna kundi la wananchi ni die hard wa upinzani hivyo katazo la shugjuri za kisiasa la maghufuli liliwaacha na kiu kubwa ya kushiriki siasa.
-ccm wamepiga siasa inchi nzima mfululizo kwa miaka mitano hivyo hakuna jipya litalosemwa masikioni mwa watu hivyo inabidi watumie njia mbadala kuvuta watu ikiwepo kuzunguka na wadanii. Wakati mikutano ya vyama pinzani wahudhurisji hutaka kupata nini kipya na tumaini jipya kuwakomboa na hali ya sasa.
- it was wrong kufikiri upinzani utakufa kwa kuandama vyama vya upinzani. Tayari mawazo kinzani yamewaingia maelfu ya watanzania hivyo hata pila chama cha siasa upinzani upo tu.
- Mbinu ya kurubuni au kununua wabunge na mafiwani wa upinzani haijawakatisha tamaa wana inchi Ku support upinzani