Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hivi jamaa wamefungiwa kusajiri au la?Yanga walifungiwa na Fifa kwa kutolipa faini ya Sh 300M.
Yanga princess walikuwa na mgomo kufuatia kutolipwa mishahara pamoja na signing fee.
Yanga imeshindwa kwenda nje kuweka kambi kwa ajili ya pre season kwasababu ya Ukata.
Yanga imekuwa kama community ya wazee kila siku vikao kujadili namna ya kumbakisha Mayele huku mchezaji mwenyewe akitaka kulipwa M40 per month.
Halafu thamani ya Chama ni 2.3B.
Unategemea hiyo hela ilipwe kutoka kwenye mfuko gani?
Ishu ya Chama wengine tushaanza kuzoea maana kila msimu wa usajili lazima kuwe na tetesi zake.
Yanga wanaokaa vikao kila muda kumjadili Mayele aliyewafanyia makubwa na kushindwa kufika muafaka ndio uwategemee wamnunue Chama kwa 2.3 B?