Ni dhahiri Yanga inataka kuleta fujo kwenye soka la Tanzania, Ikemewe

Yanga walifungiwa na Fifa kwa kutolipa faini ya Sh 300M.

Yanga princess walikuwa na mgomo kufuatia kutolipwa mishahara pamoja na signing fee.

Yanga imeshindwa kwenda nje kuweka kambi kwa ajili ya pre season kwasababu ya Ukata.

Yanga imekuwa kama community ya wazee kila siku vikao kujadili namna ya kumbakisha Mayele huku mchezaji mwenyewe akitaka kulipwa M40 per month.

Halafu thamani ya Chama ni 2.3B.

Unategemea hiyo hela ilipwe kutoka kwenye mfuko gani?

Ishu ya Chama wengine tushaanza kuzoea maana kila msimu wa usajili lazima kuwe na tetesi zake.

Yanga wanaokaa vikao kila muda kumjadili Mayele aliyewafanyia makubwa na kushindwa kufika muafaka ndio uwategemee wamnunue Chama kwa 2.3 B?
Hivi jamaa wamefungiwa kusajiri au la?
 
Kitendo cha kishamba cha timu ya Yanga kuanza kurubuni wachezaji wa vilabu vingine vya Tanzania kwa njia za giza , kitachochea vurugu kwenye soka na kudumaza ligi yetu .

Sijaridhishwa na namna wanavyotaka kumchukua Chama , huu ni ubabe wa kijinga sana , badala ya kupambana huko nje wao wanaamua kubomoa ndani , hii haikubaliki kabisa .

Siku sisi Tukiamua kujibu mapigo wasije kumlilia mtu .
Huyo ni Mo anataka kumuuza kijanja. Mshahara wa chama ni 23m, Mo anaona mwingi, kaona bora amteme
 
Juzi palivyokuwa na tetesi za Simba kumpora mchezaji kimafia airport aliyeletwa na Yanga mlijiona wajanja Sana mkajipa majina yote sijui mafia sijui nini ila kusikia Yanga anamtaka Chama mnalia mnataka ikemewe, nyie wehu kweli aisee
 
Yanga walifungiwa na Fifa kwa kutolipa faini ya Sh 300M.

Yanga princess walikuwa na mgomo kufuatia kutolipwa mishahara pamoja na signing fee.

Yanga imeshindwa kwenda nje kuweka kambi kwa ajili ya pre season kwasababu ya Ukata.

Yanga imekuwa kama community ya wazee kila siku vikao kujadili namna ya kumbakisha Mayele huku mchezaji mwenyewe akitaka kulipwa M40 per month.

Halafu thamani ya Chama ni 2.3B.

Unategemea hiyo hela ilipwe kutoka kwenye mfuko gani?

Ishu ya Chama wengine tushaanza kuzoea maana kila msimu wa usajili lazima kuwe na tetesi zake.

Yanga wanaokaa vikao kila muda kumjadili Mayele aliyewafanyia makubwa na kushindwa kufika muafaka ndio uwategemee wamnunue Chama kwa 2.3 B?
Sasa mbona mnapagawa kila siku kuhusu Yanga? Kwani huyo Chama hayupo Uturuki kwenye Pre season?
 
Juzi palivyokuwa na tetesi za Simba kumpora mchezaji kimafia airport aliyeletwa na Yanga mlijiona wajanja Sana mkajipa majina yote sijui mafia sijui nini ila kusikia Yanga anamtaka Chama mnalia mnataka akemewe, nyie wehu kweli aisee
Yanga haina uwezo wa kumsajili Chama

Hizi mbona tetesi hata msimu uliopita zilikuwepo.

Kila mwaka lazima mje na agenda kama hizi.

Unakumbuka ule mwaka ambao official page ya Yanga ilimpost Chama akiwa amevaa jezi ya Yanga?

Sasa kuna kitu gani kipya hapa
 
Washalipa ila saizi ni kama wametoa hadi ile akiba ya mwisho.

Ndio maana unaona kwenye kila jambo lao wanalofanya kama linahusu mauzo basi gharama inaongezwa ili kufidia gape walilopata kwenye faini za CAS.
Hahahaha,dah mna safari ndefu sana
 
Kitendo cha kishamba cha timu ya Yanga kuanza kurubuni wachezaji wa vilabu vingine vya Tanzania kwa njia za giza , kitachochea vurugu kwenye soka na kudumaza ligi yetu .

Sijaridhishwa na namna wanavyotaka kumchukua Chama , huu ni ubabe wa kijinga sana , badala ya kupambana huko nje wao wanaamua kubomoa ndani , hii haikubaliki kabisa .

Siku sisi Tukiamua kujibu mapigo wasije kumlilia mtu .
aondoke tu
 
Sasa mbona mnapagawa kila siku kuhusu Yanga? Kwani huyo Chama hayupo Uturuki kwenye Pre season?
Kwani ni Chama peke yake ambaye hayupo Uturuki?

Nyie si ndio mnao yaanzisha haya mambo, au umesahau juzi hapo mlikuwa na agenda za Baleke kuwa anasepa?

Leo hii mko kwa Chama, Chama ambaye amekuwa midomoni mwenu kila msimu kuanzia mashabiki hadi viongozi wote mnamletea zengwe.
 
Hahahaha,dah mna safari ndefu sana
Jezi wameuza 40K ili wa-bust kibubu maana sijajua kwa kigezo gani kingine tofauti na hicho kwakua ubora ni zero.

Mifuo miwili ya jezi tayari imeanza kukunjamana kama dekio.

Haya na saizi naskia kwenye kigodoro chao hiyo 22 wametangaza kiingilio cha chini ni 10K.

Ni umasikini tu
 
Kwani ni Chama peke yake ambaye hayupo Uturuki?

Nyie si ndio mnao yaanzisha haya mambo, au umesahau juzi hapo mlikuwa na agenda za Baleke kuwa anasepa?

Leo hii mko kwa Chama, Chama ambaye amekuwa midomoni mwenu kila msimu kuanzia mashabiki hadi viongozi wote mnamletea zengwe.
Mimi nakuuliza kuhusu huyo Chama iwapo yuko huko Uturuki! Na wewe unaniuliza tena swali! Badala ya kujibu.
 
Jezi wameuza 40K ili wa-bust kibubu maana sijajua kwa kigezo gani kingine tofauti na hicho kwakua ubora ni zero.

Mifuo miwili ya jezi tayari imeanza kukunjamana kama dekio.

Haya na saizi naskia kwenye kigodoro chao hiyo 22 wametangaza kiingilio cha chini ni 10K.

Ni umasikini tu
Ona sasa umehamia kwenye mipasho na taarab, badala ya kujadili mada iliyoko mezani.
 
Yanga haina uwezo wa kumsajili Chama

Hizi mbona tetesi hata msimu uliopita zilikuwepo.

Kila mwaka lazima mje na agenda kama hizi.

Unakumbuka ule mwaka ambao official page ya Yanga ilimpost Chama akiwa amevaa jezi ya Yanga?

Sasa kuna kitu gani kipya hapa
Sasa si mnatakiwa kupuuzia hiyo taarifa, kama Yanga haina uwezo wa kumsajili huyo Chama! Inakuwaje sasa mnapaniki?
 
Back
Top Bottom