Ni dhairi waarabu wanatudharau sana, sana zaidi ya nya

Andie

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
712
Reaction score
1,642
Peace,

Hebu imagine Ngorongoro tumewapa, bandari tumewapa tena kwa adabu na unyenyekevu lakini wao wanajivunia, wanaringa na kutamba na mafuta yao ni bei juu kila kukicha hawajawahi kutugawia hata kijiko. Na bei yao hua iko juu na hawapunguzi kuna kipindi tulishindanwa nao tukamua kuwa tunaagiza Urusi. (Sijajua kama tumesharudi kuagiza kwa hawa wazee wa bikra 72)

Cha ajabu kuna miswahili hapa sampuli ya kile kibibi cha hapa jf kinajiita Fox na kweli ni fox, hawa wanawaona waarabu kama miungu, wako tayari kwenda uarabuni kuwauliza "Mnataka nini pale Tz tuwape ?" tena huku wamepiga magoti.

Na hao waarabu "wanaoabudiwa" na kujipendekeza kwao hawajawahi kutupatia msaada wowote, kila mwaka wa budget hua tunawakimbilia Wazungu na bakuli la michango na wala hata sio hao waarubu wazee "wa bikra 72"

Ngozi nyeusi ni laana hakika, Trump alituita shit holes ukiwa mtu wa tafakuri utakubaliana nae bila kupinga.
 
Ka Nchi ka dogo tu kama Kuwait kanatoa misaada mingi Tanzania pengine kushinda nchi yoyote ya Ulaya, ama unataka watangaze kwenye Redio wanakupa misaada?

1. Kuwait ndio ilifadhili mapambano ya kukomesha mauaji ya Alibino

2. Barabara ya Dodoma morogoro km 257 imejengwa na Hela za Waarabu/Kuwait

3.mpango wa Kilomita 1500 kuunganisha dar na Kigoma kuna Maeneo Kuwait ndio imejenga

4. Kuwait wamesaidia kwenye Kilimo cha umwagiliaji kama Bonde la mto Luiche

5. Barabara ya Kibiti Lindi imejengwa na Kuwait etc

Hako ni kanchi kamoja tu ambacho ukubwa wake ni kama wilaya ya Tanzania ila kimetoa Matrilioni ya Hela kukusaidia na hutowasikia kwenye redio ama TV wakijitapa, wanatoa tu misaada/Mikopo kwa ajili ya Mungu

Ila wewe unaesaidiwa sasa.
 
sio kweli, hakuna ukweli wowote kwa uliyoandika ie barabara ya Moro - Dom - Manyoni imejengwa kwa fedha za WB (World Bank)
 
sio kweli, hakuna ukweli wowote kwa uliyoandika ie barabara ya Moro - Dom - Manyoni imejengwa kwa fedha za WB (World Bank)
Barabara haijengwi mara moja ama kuwa financed na mtu mmoja.

Kuwait imetoa $207M karibia Bilioni 500 kujenga hio barabara


Pia kuwait wameshiriki Kujenga Daraja la Mkapa, Bwawa la mtera etc.
 
Misaada ipo misikitini na masharti yao ni lazima ujengwe msikiti ndipo msaada upate wanapenda sana kuona waafrika wakivaa baibui,kanzu,msuli....Kwa hili wamefanikiwa sana!
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina


UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Maeneo unayotaja yamekaa kidini sana
 
Na bado mtaisoma namba tukitoka kwenye bandari tuna hamia kwenye ligi kuu
 
Sababu we ni ukoo wa shetani sishangai ukiogopa dini, japo comment yangu haina mahusiano yoyote na Dini.
Ukienda china utakuwa kwa nini watu wameweka ujinga kando na Wana mtishia USA na mvaa ijabu japo wanakopa na kununua vitu kitonga
 
Naskia kuna waarabu wanataka kuwekeza kwenye hizi timu zetu za mpira za hapo kariakoo.
 
Nakazia hapo Aya ya mwisho...

Ngozi nyeusi ina upumbavu wa milele.

Uafrika hasa utanzania ni laana.
 
Misaada ipo misikitini na masharti yao ni lazima ujengwe msikiti ndipo msaada upate wanapenda sana kuona waafrika wakivaa baibui,kanzu,msuli....Kwa hili wamefanikiwa sana!
Sasa si bora wao kuliko wale wanakupa msaada halafu wanakulazimisha kutatuana malinda kwa kuikubali na kuisapoti LGBTQ,ukiwakatalia wanatishia au wanasimamisha misaada yao,mfano mzuri ni hapo Uganda kwa MU7
 
Sasa umeandika nini mtu mzima na nywele zako juu na chini bado unawaza kusaidiwa eti wanatudharau kwanini na wewe usiwadharau pumbavu sana wewe
 
Nao gezea daraja la mkapa nalo walijenga kuweiti,hao wazungu anao wasifia mkopo yao inatutesa kwa riba tangu utawala wa nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…