Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
CCM ni takataka tupuSasa hivi wanachokifanya CCM ni kuonyesha ukaidi mkubwa juu ya rasilimali za taifa hili.
Wanatoza watu tozo wanavyotaka bila kuangalia utu na vipato vya raia.
Sasa hivi wamehamisha raia wa Ngorongoro kwa manufaa yao na matumbo yao.
Hivyo wana maanisha kuwa hata wafanye makosa namna gani lazima 2025 washinde kwa dharau.
Tukatae hizi dharau.
Kumbe hata ulichotaka kuandika juu yake hukijui, basi wewe ni punguani. Punguza kuleta takataka zako humu jukwaani kupotezea watu muda.Ulitaka nifafanue nini? Kichwa panzi mkubwa
Mimi nina tafakari madhara ya wafanya biashara kuhodhi njia kuu za kiuchumi, kwa serikali zijazo na uhuru wa nchi yetu, maana mwenye pesa ndio atakayetuwekea mtawala. , na jingine madhara ya kuuza ardhi yetu na jinsi ya kuinunua tena tutaweza, isije tukawa kama wapelistina nchini kwetu.Sasa hivi wanachokifanya CCM ni kuonyesha ukaidi mkubwa juu ya rasilimali za taifa hili.
Wanatoza watu tozo wanavyotaka bila kuangalia utu na vipato vya raia.
Sasa hivi wamehamisha raia wa Ngorongoro kwa manufaa yao na matumbo yao.
Hivyo wana maanisha kuwa hata wafanye makosa namna gani lazima 2025 washinde kwa dharau.
Tukatae hizi dharau.
Ndugu mrangi ,wale watoto wako nao wana haki ya kuwa kwenye system,as long as ni Watanzania.Njoo chaka huku
Toka mjini huko
System hizi zinawenyewe mzee
Ova
KATIBA mpya ndo solution, let's fight together.Sasa hivi wanachokifanya CCM ni kuonyesha ukaidi mkubwa juu ya rasilimali za taifa hili.
Wanatoza watu tozo wanavyotaka bila kuangalia utu na vipato vya raia.
Sasa hivi wamehamisha raia wa Ngorongoro kwa manufaa yao na matumbo yao.
Hivyo wana maanisha kuwa hata wafanye makosa namna gani lazima 2025 washinde kwa dharau.
Tukatae hizi dharau.
Wacha bangiSasa hivi wanachokifanya CCM ni kuonyesha ukaidi mkubwa juu ya rasilimali za taifa hili.
Wanatoza watu tozo wanavyotaka bila kuangalia utu na vipato vya raia.
Sasa hivi wamehamisha raia wa Ngorongoro kwa manufaa yao na matumbo yao.
Hivyo wana maanisha kuwa hata wafanye makosa namna gani lazima 2025 washinde kwa dharau.
Tukatae hizi dharau.
Ndiyo ukweliSidhani kama ni kweli CCM wote wako na huyu bibi Hangaya, nachoamini wengi wao wanamchukia sana ila tu ni kwa vile wako chini command chain
Wewe unasubiri nini kuamka?Mnategemea mkitoe CHAMA CHA MAJAMBAZI kwenye ulaji[emoji1787], kwanza siku hizi wengi hawapigi kura tena, hilo mosi,
pili na kubwa kuliko tukiwatoa hawa kenge tunamuweka nani, nakuhakikishia 99% ya wanasiasa wa tz ni wachumia tumbo wabinafsi, si yule KABWE KABWELA, wala huyu wa magwanda ya mgambo hawa ni wale wale tu.
Hapa ilibidi ifanywe AKSHENI hapa, ili mduwanzi yoyote akiingia awe na akili za TANZANIA [emoji1241] KWANZA na si matumbo na familia zao.
Siku watz tukiamka wanetu watakula asali, ila tukilala kama wazee wetu walivyolala, tutegemee wanetu kuja kuwa kwenye hali TATA kuliko hii.
Kata tamaaWacha bangi
Nani wa kuitoa CCM madarakani come 2025,, je ni Mbatia,Lipumba,
Zitto,Rungwe au Mbowe?
Samia tofauti na Mwendazake kaua upinzani ndani na nje ya chama chake bila kumpiga mtu makumi ya marisasi wala kujaza maiti kwenye mifuko ya sandarusi
Face it ametu outsmart tusiyoipenda CCM
Uza kangala lako tuombeane uzima tukisubiri 2030;
Wewe na nani mnautaka huo uthibitisho?Nchi imeuzwa kwa nani na shs ngapi?
Tupe uthibitisho