Mnategemea mkitoe CHAMA CHA MAJAMBAZI kwenye ulaji[emoji1787], kwanza siku hizi wengi hawapigi kura tena, hilo mosi,
pili na kubwa kuliko tukiwatoa hawa kenge tunamuweka nani, nakuhakikishia 99% ya wanasiasa wa tz ni wachumia tumbo wabinafsi, si yule KABWE KABWELA, wala huyu wa magwanda ya mgambo hawa ni wale wale tu.
Hapa ilibidi ifanywe AKSHENI hapa, ili mduwanzi yoyote akiingia awe na akili za TANZANIA [emoji1241] KWANZA na si matumbo na familia zao.
Siku watz tukiamka wanetu watakula asali, ila tukilala kama wazee wetu walivyolala, tutegemee wanetu kuja kuwa kwenye hali TATA kuliko hii.