Ni DJ gani unakubali/haukubali playlist yake iwe kwenye Redio au Club?

Deejay Dea ni balaa.. Beat matching zake sio za kitoto.,na hata scratching yake sio mbaya kivile,

DJ ambaye ana playlist mbaya ni dj summer! Jamaa ana scratch fresh ila playlist anawekaga mbaya kusema ukweli. Labda akiwa Club anafanya powa
 
Huyu alikua anaitwa Dj Boy Nature alishafariki jamaa alikua anajua sana
 
Deejay Dea ni balaa.. Beat matching zake sio za kitoto.,na hata scratching yake sio mbaya kivile,

DJ ambaye ana playlist mbaya ni dj summer! Jamaa ana scratch fresh ila playlist anawekaga mbaya kusema ukweli. Labda akiwa Club anafanya powa
hahahaha, sawa mkuu ujumbe utamfikia, ila kwenye kuhype ame improve kiasi chake
 
wana Hip Hop mnaniangusha aisee, mnaanzaje kumsahau The Best Hip Hop Dj in TZ , DJ JEFF JERRY The Black the berry the sweeter the juice
 
Kwa mtazamo wangu:Kwa hapa bongo ma DJ wengi hawana skills ,wengi wao wamevamia fani,ndio maana ukisikiliza radio nyingi za dar karibia kila siku nyimbo ni zile zile, sampler ni zile zile, effects zile zile,hata club ni hvyo hvyo........Kuna lounge moja maarufu Tu hapa mjini ipo jirani na ninapoishi ilifikia hatua DJ akipiga unajua nyimbo itakayo fuata na kufuata...hii ni kutokana na alivyopiga juzi ,Jana ni vile vile...
Wengi wa madj wetu hawajui nyimbo nyingi na ni wavivu ndio maana playlist zao ni ndogo pia..
Bora hata ma DJ wa mikoani hata radio zao zinapiga nyimbo tofauti tofauti sema Tu vifaa sio vya kisasa ukilinganisha na hawa mabishoo wa town
Ma DJ wazuri wapo Kenya mfano DJ khanji, joe mfalme,cream de la creamer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DJ wewe uko vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…