iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
Namzungumzia huyo wa 3 kutoka kushoto alieshika Maiki ndo Chriss The DJ yupo Jembe FM..
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namzungumzia huyo wa 3 kutoka kushoto alieshika Maiki ndo Chriss The DJ yupo Jembe FM..
Namzungumzia huyo wa 3 kutoka kushoto alieshika Maiki ndo Chriss The DJ yupo Jembe FM.. View attachment 1313967
Sent using Jamii Forums mobile app
.Namzungumzia huyo wa 3 kutoka kushoto alieshika Maiki ndo Chriss The DJ yupo Jembe FM.. View attachment 1313967
Sent using Jamii Forums mobile app
Una UKIMWI?DJ Bonge wa MUJO PUB
Namkubali dj bash from HBR!All in all! DJs wa Kenya ni habari nyingine wazee,,, Kule kuna kina DJ Kanji, DJ Kalonje, DJ Joe Mfaume, DJ Hassan, DJ Bash n.k..!
Hawa jamaa ukiskiza hata mixes zao na wengine kwenye media hasa HBR 103.3 FM (Homeboyz Radio) Capital FM na Ghetto Radio ndo utawaelewa jamaa wanacheza na mashine mpaka sio poa...! Sema wengi wao skuiz hawapigi live mixes wanacheza sana mixes zao kwa Sony Acid & Vegas ila hata kwenye Mashine ni hatari...
Kenya kuna skilled DJs wakuu na wengi wao wanafanya kazi nchi za majuu hiyo hiyo kazi ya uDJ kwenye clubs & concerts...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Nimeona mkuu kumbe kweli! Nlkua Mwanza om ila nmetoka yapata mwezi sasa.. Daaah jamaa kaniuma sana afu kifo chake cha ghafla sana ani ndo maana imekua ngumu kuamini na kujua... R.I.P ChrissTheDJ
Dj Bash ni noma,,,,! HBR anatisha na DJ Hassan...Namkubali dj bash from HBR!
God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
Kweli wenyewe hawana mambo ya kubaniana kama wa huku kwetu hata sample tu anakuuzia wakati wenyewe kule mpk extended wanagaiana bure kama njia ya kusapotiana.maana nikiipiga extended yako na umeweka sign si nimekupa tafu hapo?All in all! DJs wa Kenya ni habari nyingine wazee,,, Kule kuna kina DJ Kanji, DJ Kalonje, DJ Joe Mfaume, DJ Hassan, DJ Bash n.k..!