Ni DJ gani unakubali/haukubali playlist yake iwe kwenye Redio au Club?

Ni DJ gani unakubali/haukubali playlist yake iwe kwenye Redio au Club?

Jeff Jerry, Malis na kuna bro mmoja aliwahi kupiga clouds jina lake lina Q simkumbuki vizuri lkn yuko vizuri sana
 
Alafu Habib tunaomjua vizuri ni wale wa disko bills 90s lakini ni bonge la DJ na kizazi hiki hawajamfaidi kabisa.
Bills na pale ymca
Watoto Sahv ukiwambia ymca kulikuwa na disko hawawezi amini

Ova
 
Dj jd
Dj sama tz
Dj d ommy
Dj zero
Na dj carry mastory
Na dj mmoko hv wa efm nae anajua
 
Back
Top Bottom