Ni DJ gani unakubali/haukubali playlist yake iwe kwenye Redio au Club?

Kwa Bongo I much respect DJ John Dillinga Matlou, jamaa ni mkali sana kuanzia Radio Dejaying hadi Club Dejaying

Radio:
Kwa usitadi mkubwa na uwezo mkubwa wa kuujua mziki ameweza run vipindi vya muziki Muziki katika radio za EA Radio, Radio One, Uhuru, Times FM et. Ukiacha sauti yake nzuri akiwa kwenye introduction, kutambulisha ngoma etc lakini jamaa ana uwezo mkubwa wa kushawishi hadhira kuingia kwa dance floor kwa ngoma kali anazopiga na uwezo wa ad-lip wakati kwa mixing!! wengi watakumbuka vipindi kama The Heat, pale Radio One, John 14:16 pale Uhuru FM etc

Club:
ameweza run club mbalimbali zilizotamba sana Bongo T(Z) from Moro Hotel Shimoni early 90's kabla ya kina Peter Moe, amekimbiza Billz, Synergy Lounge, Club Hytte Kilimanjaro Kimpesk, Isumba, na bahari beach na sasa Club Legend.

Licha ya kuujua muziki lakini pia jamaa anakipaji sana

kwangu huyu ndio DJ ninayemkubali zaid, DJ JD, John Mkimbizi, John Dillinga, Everlasting DJ au DJ of the Past Present and the future
 
kwa lugha nyepesi tunasema anakipaji
 
John Dilinga Mtoto wa Moro mtu hatari sanaaa!!!
 
Kuna Dj alikuwaga Kiss fm anaitwa Dj Davy sijui mwamba yuko wapi siku hizi alitisha sana kipindi kile, pia Dj mmoja anaitwa Dj Dhifa sikumbuki ilikuwa Mbeya au Iringa kuna Club nilizamia mida mibovu alikuwa anapiga pia alinibamba
DJ Dhifa (Official DJ) kwa sasa yupo Access FM, Mbeya ni Radio mpya ipo maeneo ya Mzumbe, Old Forest

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Bongo I much respect DJ John Dillinga Matlou, jamaa ni mkali sana kuanzia Radio Dejaying hadi Club Dejaying

Radio:
Kwa usitadi mkubwa na uwezo mkubwa wa kuujua mziki ameweza run vipindi vya muziki Muziki katika radio za EA Radio, Radio One, Uhuru, Times FM et. Ukiacha sauti yake nzuri akiwa kwenye introduction, kutambulisha ngoma etc lakini jamaa ana uwezo mkubwa wa kushawishi hadhira kuingia kwa dance floor kwa ngoma kali anazopiga na uwezo wa ad-lip wakati kwa mixing!! wengi watakumbuka vipindi kama The Heat, pale Radio One, John 14:16 pale Uhuru FM etc

Club:
ameweza run club mbalimbali zilizotamba sana Bongo T(Z) from Moro Hotel Shimoni early 90's kabla ya kina Peter Moe, amekimbiza Billz, Synergy Lounge, Club Hytte Kilimanjaro Kimpesk, Isumba, na bahari beach na sasa Club Legend.

Licha ya kuujua muziki lakini pia jamaa anakipaji sana

kwangu huyu ndio DJ ninayemkubali zaid, DJ JD, John Mkimbizi, John Dillinga, Everlasting DJ au DJ of the Past Present and the future
DJ John Dilinga ni habari nyingine huyu mwamba...! Anajua mpaka basi ani... DJs wa saiv scratches zisizo na mpangilio ndo tunaona uDJ wenyewe wakati Playlist na Beat matching unakuta mbovu kama beginner anaeanza kujifunza fani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Bongo I much respect DJ John Dillinga Matlou, jamaa ni mkali sana kuanzia Radio Dejaying hadi Club Dejaying

Radio:
Kwa usitadi mkubwa na uwezo mkubwa wa kuujua mziki ameweza run vipindi vya muziki Muziki katika radio za EA Radio, Radio One, Uhuru, Times FM et. Ukiacha sauti yake nzuri akiwa kwenye introduction, kutambulisha ngoma etc lakini jamaa ana uwezo mkubwa wa kushawishi hadhira kuingia kwa dance floor kwa ngoma kali anazopiga na uwezo wa ad-lip wakati kwa mixing!! wengi watakumbuka vipindi kama The Heat, pale Radio One, John 14:16 pale Uhuru FM etc

Club:
ameweza run club mbalimbali zilizotamba sana Bongo T(Z) from Moro Hotel Shimoni early 90's kabla ya kina Peter Moe, amekimbiza Billz, Synergy Lounge, Club Hytte Kilimanjaro Kimpesk, Isumba, na bahari beach na sasa Club Legend.

Licha ya kuujua muziki lakini pia jamaa anakipaji sana

kwangu huyu ndio DJ ninayemkubali zaid, DJ JD, John Mkimbizi, John Dillinga, Everlasting DJ au DJ of the Past Present and the future
Huyu anasubiri sana kwa Dj Adrian wa Capital fm ya Kenya,yaani anatisha sana playlist yake ni ajabsanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kuna ma dj wana igana playlist yaani hata stunt pia wanaigana,dj Mafuvu aliiga yale makelele ya Dj Clue akiwa anapiga ngoma,Dj Ommy crazy akaiga swaga za Mafuvu sasa hivi Dj Summer tz nae anaiga makelele ya Dj Ommy crazy yaani hakuna ubunifu ni kuiga iga tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom