Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Niko track
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana man..umetisha sana kwa orodha yako mkuu
kwa lugha nyepesi tunasema anakipajiKwa Bongo I much respect DJ John Dillinga Matlou, jamaa ni mkali sana kuanzia Radio Dejaying hadi Club Dejaying
Radio:
Kwa usitadi mkubwa na uwezo mkubwa wa kuujua mziki ameweza run vipindi vya muziki Muziki katika radio za EA Radio, Radio One, Uhuru, Times FM et. Ukiacha sauti yake nzuri akiwa kwenye introduction, kutambulisha ngoma etc lakini jamaa ana uwezo mkubwa wa kushawishi hadhira kuingia kwa dance floor kwa ngoma kali anazopiga na uwezo wa ad-lip wakati kwa mixing!! wengi watakumbuka vipindi kama The Heat, pale Radio One, John 14:16 pale Uhuru FM etc
Club:
ameweza run club mbalimbali zilizotamba sana Bongo T(Z) from Moro Hotel Shimoni early 90's kabla ya kina Peter Moe, amekimbiza Billz, Synergy Lounge, Club Hytte Kilimanjaro Kimpesk, Isumba, na bahari beach na sasa Club Legend.
Licha ya kuujua muziki lakini pia jamaa anakipaji sana
kwangu huyu ndio DJ ninayemkubali zaid, DJ JD, John Mkimbizi, John Dillinga, Everlasting DJ au DJ of the Past Present and the future
Kwa Bongo I much respect DJ John Dillinga Matlou, jamaa ni mkali sana kuanzia Radio Dejaying hadi Club Dejaying
Radio:
Kwa usitadi mkubwa na uwezo mkubwa wa kuujua mziki ameweza run vipindi vya muziki Muziki katika radio za EA Radio, Radio One, Uhuru, Times FM et. Ukiacha sauti yake nzuri akiwa kwenye introduction, kutambulisha ngoma etc lakini jamaa ana uwezo mkubwa wa kushawishi hadhira kuingia kwa dance floor kwa ngoma kali anazopiga na uwezo wa ad-lip wakati kwa mixing!! wengi watakumbuka vipindi kama The Heat, pale Radio One, John 14:16 pale Uhuru FM etc
Club:
ameweza run club mbalimbali zilizotamba sana Bongo T(Z) from Moro Hotel Shimoni early 90's kabla ya kina Peter Moe, amekimbiza Billz, Synergy Lounge, Club Hytte Kilimanjaro Kimpesk, Isumba, na bahari beach na sasa Club Legend.
Licha ya kuujua muziki lakini pia jamaa anakipaji sana
kwangu huyu ndio DJ ninayemkubali zaid, DJ JD, John Mkimbizi, John Dillinga, Everlasting DJ au DJ of the Past Present and the future
Ni mkenya sio mTZKuna demu flan anaitwa DJ Aisher, yuko vizuri, nafikiri ni mtz anaishi Ujerumani.
DJ Dhifa (Official DJ) kwa sasa yupo Access FM, Mbeya ni Radio mpya ipo maeneo ya Mzumbe, Old ForestKuna Dj alikuwaga Kiss fm anaitwa Dj Davy sijui mwamba yuko wapi siku hizi alitisha sana kipindi kile, pia Dj mmoja anaitwa Dj Dhifa sikumbuki ilikuwa Mbeya au Iringa kuna Club nilizamia mida mibovu alikuwa anapiga pia alinibamba
Ongeza na Chriss The DJ, Scorpion na DJ Cool cutz hawa hamaa ni hatari pale Jembe FMhatari sana muongeze na kflip
Sidhani ka ina DJ hii redio pamoja ile Ndingala FM ni kama hazina DJPale sumbawanga enzi za Upendo vile yule jamaa Dj Devi bado yupo, redio ya Chemchem vipi huwa haina dj..?
DJ John Dilinga ni habari nyingine huyu mwamba...! Anajua mpaka basi ani... DJs wa saiv scratches zisizo na mpangilio ndo tunaona uDJ wenyewe wakati Playlist na Beat matching unakuta mbovu kama beginner anaeanza kujifunza fani...Kwa Bongo I much respect DJ John Dillinga Matlou, jamaa ni mkali sana kuanzia Radio Dejaying hadi Club Dejaying
Radio:
Kwa usitadi mkubwa na uwezo mkubwa wa kuujua mziki ameweza run vipindi vya muziki Muziki katika radio za EA Radio, Radio One, Uhuru, Times FM et. Ukiacha sauti yake nzuri akiwa kwenye introduction, kutambulisha ngoma etc lakini jamaa ana uwezo mkubwa wa kushawishi hadhira kuingia kwa dance floor kwa ngoma kali anazopiga na uwezo wa ad-lip wakati kwa mixing!! wengi watakumbuka vipindi kama The Heat, pale Radio One, John 14:16 pale Uhuru FM etc
Club:
ameweza run club mbalimbali zilizotamba sana Bongo T(Z) from Moro Hotel Shimoni early 90's kabla ya kina Peter Moe, amekimbiza Billz, Synergy Lounge, Club Hytte Kilimanjaro Kimpesk, Isumba, na bahari beach na sasa Club Legend.
Licha ya kuujua muziki lakini pia jamaa anakipaji sana
kwangu huyu ndio DJ ninayemkubali zaid, DJ JD, John Mkimbizi, John Dillinga, Everlasting DJ au DJ of the Past Present and the future
Ongeza na Chriss The DJ, Scorpion na DJ Cool cutz hawa hamaa ni hatari pale Jembe FM
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anasubiri sana kwa Dj Adrian wa Capital fm ya Kenya,yaani anatisha sana playlist yake ni ajabsanaaKwa Bongo I much respect DJ John Dillinga Matlou, jamaa ni mkali sana kuanzia Radio Dejaying hadi Club Dejaying
Radio:
Kwa usitadi mkubwa na uwezo mkubwa wa kuujua mziki ameweza run vipindi vya muziki Muziki katika radio za EA Radio, Radio One, Uhuru, Times FM et. Ukiacha sauti yake nzuri akiwa kwenye introduction, kutambulisha ngoma etc lakini jamaa ana uwezo mkubwa wa kushawishi hadhira kuingia kwa dance floor kwa ngoma kali anazopiga na uwezo wa ad-lip wakati kwa mixing!! wengi watakumbuka vipindi kama The Heat, pale Radio One, John 14:16 pale Uhuru FM etc
Club:
ameweza run club mbalimbali zilizotamba sana Bongo T(Z) from Moro Hotel Shimoni early 90's kabla ya kina Peter Moe, amekimbiza Billz, Synergy Lounge, Club Hytte Kilimanjaro Kimpesk, Isumba, na bahari beach na sasa Club Legend.
Licha ya kuujua muziki lakini pia jamaa anakipaji sana
kwangu huyu ndio DJ ninayemkubali zaid, DJ JD, John Mkimbizi, John Dillinga, Everlasting DJ au DJ of the Past Present and the future
chriy hatunaye tena mzaziOngeza na Chriss The DJ, Scorpion na DJ Cool cutz hawa hamaa ni hatari pale Jembe FM
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazungumzia DJ Chriss gani mkuu? Jembe FM kuna Chriss The DJ sio DJ Chriss, huyu Chriss the DJ yupo tu skuzote anapiga mchana kipindi cha HitsZone...