MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
DJ John Dilinga, DJ Bonny Luv, DJ Steve B wengine wengi wa siku hizi uwezo wao unafafana sana. Wana vitu vile vile ni ngumu sana kuwatofautisha.
Ila mikoani kuna wadudu wanakamua bana basi tu Dar ndio kila kitu. Nimewahi kuingia club moja huko Bukoba nilibumbwaa majamaa wanavyokamua tena walikuwa wanapokeza ngoma moja moja, huyu old skool huyu anajibu na new skool ....hatari ....na mixing/Scratching ziko perfect!
Sent using Jamii Forums mobile app