Ni DJ gani unakubali/haukubali playlist yake iwe kwenye Redio au Club?

All in all! DJs wa Kenya ni habari nyingine wazee,,, Kule kuna kina DJ Kanji, DJ Kalonje, DJ Joe Mfaume, DJ Hassan, DJ Bash n.k..!

Hawa jamaa ukiskiza hata mixes zao na wengine kwenye media hasa HBR 103.3 FM (Homeboyz Radio) Capital FM na Ghetto Radio ndo utawaelewa jamaa wanacheza na mashine mpaka sio poa...! Sema wengi wao skuiz hawapigi live mixes wanacheza sana mixes zao kwa Sony Acid & Vegas ila hata kwenye Mashine ni hatari...

Kenya kuna skilled DJs wakuu na wengi wao wanafanya kazi nchi za majuu hiyo hiyo kazi ya uDJ kwenye clubs & concerts...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namkubali dj bash from HBR!

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
 
Mi namkubali Don Diablo wa SLAM.
 
hakuna Dj mkali kama scratch designer wengine ni wazugaji tu
 
Kweli wenyewe hawana mambo ya kubaniana kama wa huku kwetu hata sample tu anakuuzia wakati wenyewe kule mpk extended wanagaiana bure kama njia ya kusapotiana.maana nikiipiga extended yako na umeweka sign si nimekupa tafu hapo?
tubadilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…