Unatumia simu Gani mkuu
IphoneUnatumia simu Gani mkuu
We mumama nimekumiss🤣🤣🤣 napenda sana kucheka
naona unapenda mabilinganya sana binti yangu
Nimependa hilo bilinganya
Na mi nimekumiss kipenzi, nilivyorudi nimekuta kijiwe nongwa hakipo.!! Kuna sehemu nilikuita uniambie nini kilitokea sijakuona….. sijui hukupata notification 🤣🤣🤣We mumama nimekumiss
Mhm!!Sijui kwanin hawajafikira kuweka emoji ya me na ke wakibusiana
Hiyo emoji ya biringanya huwa unaitumia kumaanisha nini?
Ahahaha sijapata notification jamani bora umerudiNa mi nimekumiss kipenzi, nilivyorudi nimekuta kijiwe nongwa hakipo.!! Kuna sehemu nilikuita uniambie nini kilitokea sijakuona….. sijui hukupata tag 🤣🤣🤣
Kuzagamuana 😝Hiyo emoji ya biringanya huwa unaitumia kumaanisha nini?
Au ipo?Mhm!!