Ni emoji gani kwenye simu yako au ukiiona sehemu unaipenda kuliko nyingine zote?

Ni emoji gani kwenye simu yako au ukiiona sehemu unaipenda kuliko nyingine zote?

sikujua,
kumbe mtumishi ni msuluhishi wa migogoro
Baba kikao kimeisha?
Mi kusuluhisha migogoro ya pesa ndio naweza, hiyo ya watu wanajifunika shuka moja hawaaminiki.!! Wakipatana unaitwa mchawi wa penzi lao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Baba kikao kimeisha?
Mi kusuluhisha migogoro ya pesa ndio naweza, hiyo ya watu wanajifunika shuka moja hawaaminiki.!! Wakipatana unaitwa mchawi wa penzi lao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
aahh ya pesa ndio unaweza eeh, ummhhh okay 🀣

tayari kimeisha,
napumzika sasa lakini nashindwa mambo ni mazito
 
Aiseee wanaume saiv wanapitia wakati mgumu. Kila kitu kwao kinahusishwa na upande wa pili. Give them a break jamani loh
Ukweli ndio huo kutumia sana emoji kwa mwanamume ni dalili ya uchoko. Wewe chunguza uone wanaume wanaoutumua sana emoji wana tabia za kike
 
🀣🀣🀣🀣 Karudia koloni lake.!! Sasa coca kwani alikuwa anaingilia? Aliyemwambia mapenzi yanaingiliwa nani.??
Km namuona siku hiyo alivyonywea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wee cocastic udugu ulianzaje kuingilia ugomvi wa wapendanao??
Aliingiliaga kumchamba mwanaume πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
aahh ya pesa ndio unaweza eeh, ummhhh okay 🀣

tayari kimeisha,
napumzika sasa lakini nashindwa mambo ni mazito
Ya pesa najua nitapata na mimi mgao πŸ˜‚

Hayo mambo mazito yapi tena baba?!
 
Aliingiliaga kumchamba mwanaume πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwahiyo kapigwa na kitu kizito??? Sasa atamuangaliaje shemeji yake 🀣🀣🀣
 
Kumbe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwahiyo kapigwa na kitu kizito??? Sasa atamuangaliaje shemeji yake 🀣🀣🀣
Yaan alichoka na shost zake et Yaan umetugeuka πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukweli ndio huo kutumia sana emoji kwa mwanamume ni dalili ya uchoko. Wewe chunguza uone wanaume wanaoutumua sana emoji wana tabia za kike
"Aliwazalo mjinga ndilo litalo mtokea". Sio maneno yangu. Ila ushoga ukitoa wale wanaovaa nguo za kike, miondoko ya kike na kujiremba, the rest hamna formula.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Nilicheka mno eti wewe tutaweka wapi sura zetu
Kumbe mambo yalikuwa pambe 🀣🀣🀣
Yani ningekuwepo hiyo siku ningelala mbavu zinauma kwa kucheka.!!

Sasa mwanaume naye alisemaje?? Si angewatandika bakora kwann wanagombana mbele yake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani chanzo nini?? walifumaniana
 
Shoga hata sijui,mdada anaonaga muda wote anaibiwa hajiamini ni kurusha vijembe kila uzi hata mada haiusiana analeta vijembe ndio akawakiwa
 
Shoga hata sijui,mdada anaonaga muda wote anaibiwa hajiamini ni kurusha vijembe kila uzi hata mada haiusiana analeta vijembe ndio akawakiwa
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œ
Labda mwanzo walimuibia sasa alivyorudi akajua bado team pinzani wanataka kumpindua tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila jf raha watu na mahaba yao ni mwendo wa kupinduana km waasi na serikali
 
Back
Top Bottom