Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Jipange umuombe shemeji yako msamaha 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu kwann lakiniii??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipange umuombe shemeji yako msamaha 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu kwann lakiniii??
😂😂😂🤣🤣🤣 Ila mi dada ako ingilia tumchambe shemejio akizingua na mawe uwe unanipa tumpopoe..!!! Tukija kurudiana nawaweka kikao cha usuluhishi sawa? 😂
Na shemeji yenu alivyo mtata sasa hakubaligi kushindwa hiyo siku ukoo mzima tutaletewa ma file yetu 🤣🤣🤣🤣
Hahaha na ni mbishi tutakuwa mi siingiliiNa shemeji yenu alivyo mtata sasa hakubaligi kushindwa hiyo siku ukoo mzima tutaletewa ma file yetu 🤣🤣🤣🤣
Kile kichwa sio Miongozo akichambwa anapotezea
🤣🤣🤣 Tutabadili majina kwa mudaHahaha na ni mbishi tutakuwa mi siingilii
Wee kuwezaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila mi dada ako ingilia tumchambe shemejio akizingua na mawe uwe unanipa tumpopoe..!!! Tukija kurudiana nawaweka kikao cha usuluhishi sawa? [emoji23]
Hapanaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jipange umuombe shemeji yako msamaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo utakaa pembeni nikiwa nachambwa?? 😂😂😂Wee kuwezaaa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nasemaje twende ukamuombe shem msamaha 😂😂😂Hapanaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]