Ni emoji gani kwenye simu yako au ukiiona sehemu unaipenda kuliko nyingine zote?

Nini kilitokea kwan 😜
Nimetafuta uzi mpk macho yalitaka kutoka
Shooga nilipitwa na mim nikakuta uzi umefungwa ni antonia na babe wake na wale wengine kichambo kilitembea haswa
 
Wanaume sio watumiaji sana wa emoji, ukiona mwanamume anatumia sana emoji kuna walakini atakuwa amehamia upande wa pili
 
🀣🀣🀣 Migogoro yao bado haijaisha?!
Kwahiyo wamefikia muafaka au bado??
Bibie karudisha mpira kwa kipa na jina karudisha la zamani mapenzi hayaingiliwi nyie mi niliwaambia kina coca wakabisha waliziba macho kwa aibu
 
Bibie karudisha mpira kwa kipa na jina karudisha la zamani mapenzi hayaingiliwi nyie mi niliwaambia kina coca wakabisha waliziba macho kwa aibu
🀣🀣🀣🀣 Karudia koloni lake.!! Sasa coca kwani alikuwa anaingilia? Aliyemwambia mapenzi yanaingiliwa nani.??
Km namuona siku hiyo alivyonywea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wee cocastic udugu ulianzaje kuingilia ugomvi wa wapendanao??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…