ππππππππ utalaumu wanawake wenzio kama mwanaume hajatulia hajatulia tuπ€£π€£π€£π€£ππ
Labda mwanzo walimuibia sasa alivyorudi akajua bado team pinzani wanataka kumpindua tena πππ
Ila jf raha watu na mahaba yao ni mwendo wa kupinduana km waasi na serikali
Kwahiyo upande wa pili wamekubali kumuachia au nao wanajipanga kufanya mapinduzi?? ππππππππππππ utalaumu wanawake wenzio kama mwanaume hajatulia hajatulia tu
Kwahiyo upande wa pili wamekubali kumuachia au nao wanajipanga kufanya mapinduzi?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wa jf [emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Migogoro yao bado haijaisha?!
Kwahiyo wamefikia muafaka au bado??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekubali yaishee.Bibie karudisha mpira kwa kipa na jina karudisha la zamani mapenzi hayaingiliwi nyie mi niliwaambia kina coca wakabisha waliziba macho kwa aibu
Uduguu wee acha tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Karudia koloni lake.!! Sasa coca kwani alikuwa anaingilia? Aliyemwambia mapenzi yanaingiliwa nani.??
Km namuona siku hiyo alivyonywea [emoji23][emoji23][emoji23]
Wee cocastic udugu ulianzaje kuingilia ugomvi wa wapendanao??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukifungua pm wakikutongoza ukikataa wanakuja na uzi mrefu kaombwa afu tatu na kausha damu
Na nlimchamba haswaaa, mengine watajua wenyewe.Aliingiliaga kumchamba mwanaume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu kwann lakiniii??Kumbe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo kapigwa na kitu kizito??? Sasa atamuangaliaje shemeji yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiYaan alichoka na shost zake et Yaan umetugeuka [emoji23][emoji23]
Umbea utakuua wee udugu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani walikuwa wangapi? Hujanitunzia screenshot nicheke mie [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilicheka mno eti wewe tutaweka wapi sura zetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiii mbavu cna.Kumbe mambo yalikuwa pambe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani ningekuwepo hiyo siku ningelala mbavu zinauma kwa kucheka.!!
Sasa mwanaume naye alisemaje?? Si angewatandika bakora kwann wanagombana mbele yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani chanzo nini?? walifumaniana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kweli mwayaa.Shoga hata sijui,mdada anaonaga muda wote anaibiwa hajiamini ni kurusha vijembe kila uzi hata mada haiusiana analeta vijembe ndio akawakiwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona Hamas na Israel.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
Labda mwanzo walimuibia sasa alivyorudi akajua bado team pinzani wanataka kumpindua tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila jf raha watu na mahaba yao ni mwendo wa kupinduana km waasi na serikali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu una nn wee lakini?Kwahiyo upande wa pili wamekubali kumuachia au nao wanajipanga kufanya mapinduzi?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wa jf [emoji119][emoji119][emoji119]
ππππ Hakuna wa kutusuta kwan tumetaja mtu jina lake hapa..?!Huhuuu unataka nisutwe
π€£π€£π€£ Ila mi dada ako ingilia tumchambe shemejio akizingua na mawe uwe unanipa tumpopoe..!!! Tukija kurudiana nawaweka kikao cha usuluhishi sawa? πUduguu wee acha tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimejifunza jambo ktk maisha, wapendanao wakigombana shika jembe ukalime.
Nilinywea km uboo wa mtoto mwenye nimonia. Woiiiih