Ni eneo gani au sehemu gani naweza kuwekeza Tsh. milioni 1 nikapata 5,000 kwa siku?

Tuchukue point tatu (yaani odd 3)tutie hiyo milioo baada ya kodi kukatwa tutabaki m2+ unachomoa M yako tunabaki na jembe letu.
 
Naenda mnadani nanunua nyama ya nguruwe kwa 5000 kwa kilo nanunua kilo 100 sawa na laki tano nawauzia wanaokaanga kwa 8000 kwa kilo naingiza faida ya 300,000/ kwa tripu moja nikitoa gharama za usafiri nabaki na 250,000/ kwa wiki naenda mara mbili kwahyo wakika wa laki tano kwa wiki. Laki Tano inayobaki nalangua kuku mnadani kwa 10,000 kwa kuku nachukua kuku 40 sawa na laki 400,000/ nawaleta town nauza kwa 15000 kwa kuku mmoja sawa na faida ya laki 2 kwa tripu kumbuka ninaponunu nyama ndo hapo hapo napo nunua kuku kwahyo nafanya biashara mbili kwa wakati mmoja.
 
hii
biashara unaifanyia mkoa gani mkuu
 
Hongera Mkuuu
 
Odd 1.01 Kwa siku unapata 9k ukistake million
 
Zipo nyingi tuu mkuu,wewe uko wapi kwanza?Tuanzie hapo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…