Ni eneo gani au sehemu gani naweza kuwekeza Tsh. milioni 1 nikapata 5,000 kwa siku?

Ni eneo gani au sehemu gani naweza kuwekeza Tsh. milioni 1 nikapata 5,000 kwa siku?

Ila pia mleta mada mbona kama na we umetuletea ile kitu inaitwa Chemsha Bongo? Hiyo hela umeitafuta, umepewa,au umeiokota? Umejua jinsi ya kuipata ila hujui jinsi ya kuizalisha? Kweli we mleta mada aaaah inaweza kuwa unatuchezesha chemsha bongo.
 
Ila pia mleta mada mbona kama na we umetuletea ile kitu inaitwa Chemsha Bongo?Hiyo ela umeitafuta,umepewa,au umeiokota?umejua jinsi ya kuipata ila hujui jinsi ya kuizalisha?kweli kweli we mleta mada aaaah inaweza kuwa unatuchezesha chemsha bongo.
Fedha Ni ya kwangu nimeisave kutokana na ninacholipwa. Lengo hiyo fedha niiwekeze sehemu angalau Kwa siku nipate buku tano tu. Maana yake nitakachokuwa nakipata Kwa mwezi nahifadhi nakuja kusubiri kwa mwaka nina kiasi gani na naweza kuwekeza kwingne.
 
Ila pia mleta mada mbona kama na we umetuletea ile kitu inaitwa Chemsha Bongo?Hiyo ela umeitafuta,umepewa,au umeiokota?umejua jinsi ya kuipata ila hujui jinsi ya kuizalisha?kweli kweli we mleta mada aaaah inaweza kuwa unatuchezesha chemsha bongo.
Inawezekana
1. Anabadilisha biashara
2. Kapewa mtaji
3. Anahakikisha taarifa alizonazo zinaukweli.
4. Ushauri
Usijenge dhana tofauti na swali uliloulizwa
 
Back
Top Bottom