Ni eneo gani au sehemu gani naweza kuwekeza Tsh. milioni 1 nikapata 5,000 kwa siku?

Ni eneo gani au sehemu gani naweza kuwekeza Tsh. milioni 1 nikapata 5,000 kwa siku?

Habari wananzengo.

Nina fedha ya kitanzania Tsh 1,000,000/= nataka niiwekeze mahali nipate elfu tano Kwa siku. Nipe mawazo wajumbe lengo langu mtaji upo palepale. Mimi nakuwa muekezaji yeye anatumia fedha yangu Kama mtaji na kwa siku elfu tano yangu ananitumia
Forex trade kwenye exchange kama mexc hiyo 5000 unaipata ndani ya dak 20
 
Habari wananzengo.

Nina fedha ya kitanzania Tsh 1,000,000/= nataka niiwekeze mahali nipate elfu tano Kwa siku. Nipe mawazo wajumbe lengo langu mtaji upo palepale. Mimi nakuwa muekezaji yeye anatumia fedha yangu Kama mtaji na kwa siku elfu tano yangu ananitumia
Ngoja tuje Maafisa Ubashiri.... Tukwambie weka odds za uhakika....
 
Ndio iko hvo kk? Kwani ni asilimia ngap?
Sasa Mzee unawekeza 15,000,000/=
Unapata gawio 123,000/= Kwa mwezi Kwa mwaka ni 1,476,000/= . Mpaka kupata break-even (yaani kutopata hasara Wala FAIDA yaani umerudisha tu gharama zako za Uwekezaji ni miaka 10. baada ya miaka 10 ndio unaanza kupata FAIDA ya 123,000 kwa mwezi na hapo inategemea na Speculative motives za huo uwekezaji.
 
Habari wananzengo.

Nina fedha ya kitanzania Tsh 1,000,000/= nataka niiwekeze mahali nipate elfu tano Kwa siku. Nipe mawazo wajumbe lengo langu mtaji upo palepale. Mimi nakuwa muekezaji yeye anatumia fedha yangu Kama mtaji na kwa siku elfu tano yangu ananitumia
Pombe za kienyeji na nyama kwasukwasu supu na mapande ya kitimoto
 
Naenda mnadani nanunua nyama ya nguruwe kwa 5000 kwa kilo nanunua kilo 100 sawa na laki tano nawauzia wanaokaanga kwa 8000 kwa kilo naingiza faida ya 300,000/ kwa tripu moja nikitoa gharama za usafiri nabaki na 250,000/ kwa wiki naenda mara mbili kwahyo wakika wa laki tano kwa wiki. Laki Tano inayobaki nalangua kuku mnadani kwa 10,000 kwa kuku nachukua kuku 40 sawa na laki 400,000/ nawaleta town nauza kwa 15000 kwa kuku mmoja sawa na faida ya laki 2 kwa tripu kumbuka ninaponunu nyama ndo hapo hapo napo nunua kuku kwahyo nafanya biashara mbili kwa wakati mmoja.
mkuu unafanyia mkoa gani hii mambo?
 
Back
Top Bottom