Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
🤣🤣🤣Yaani mambo ya DeciKuna mtu atalia soon, too good to be true, 350k per week mmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Yaani mambo ya DeciKuna mtu atalia soon, too good to be true, 350k per week mmh
Something fishyMh embu fafanua mbona kama mtego huu
Anakutumia elfu tano mpaka lini?Habari wananzengo.
Nina fedha ya kitanzania Tsh 1,000,000/= nataka niiwekeze mahali nipate elfu tano Kwa siku. Nipe mawazo wajumbe lengo langu mtaji upo palepale. Mimi nakuwa muwekezaji yeye anatumia fedha yangu Kama mtaji na kwa siku elfu tano yangu ananitumia
Elezea zaidi hiiKwenye cryptocurrency yaani sarafu za kidigitali, kuna kitu tunaita staking au pia delegation, unailock hiyo m1 yako ni dola 400+ unakuwa unakusanya staking reward yaani faida huku mtaji wako huo ukiwa salama kabsa na siku ukiitaka unatoa yote.
Duh mbona watu wanamitaji ya elfu 50 tu na wanapata zaidi ya elfu 10 faida. Humu ndani kuna watu wa ajabu sana.Hakuna uwekezaji wa milion moja upate 5000 kwa siku labda ufanye biashara tofauti na hapo itakuhitaji kuwekeza zaidi karibu Milion 25 ili kupata 5000 kwa siku ,, Yani piga kwenye uwekezaji return yake kwa siku haizidi 0.98% au mpaka 1% kwenye pesa yako
Atapigwa Mtu Upper Kati, Chembe Kidevu Auteme Moyo Na Ini HadharaniMh embu fafanua mbona kama mtego huu
Fungua mgahawaHabari wananzengo.
Nina fedha ya kitanzania Tsh 1,000,000/= nataka niiwekeze mahali nipate elfu tano Kwa siku. Nipe mawazo wajumbe lengo langu mtaji upo palepale. Mimi nakuwa muwekezaji yeye anatumia fedha yangu Kama mtaji na kwa siku elfu tano yangu ananitumia
Hao watu sio wawekezaji. Ni wafanya biashara.Duh mbona watu wanamitaji ya elfu 50 tu na wanapata zaidi ya elfu 10 faida. Humu ndani kuna watu wa ajabu sana.
Nitumie hiyo hela, 5000 utaipata kila siku mpaka nitakaporejesha hela yako, niko nasikilizia.Habari wananzengo.
Nina fedha ya kitanzania Tsh 1,000,000/= nataka niiwekeze mahali nipate elfu tano Kwa siku. Nipe mawazo wajumbe lengo langu mtaji upo palepale. Mimi nakuwa muwekezaji yeye anatumia fedha yangu Kama mtaji na kwa siku elfu tano yangu ananitumia
Then hela inarudu baada ya miezi 9 au hiyo 400knndonushamalizana naye?Ukifikisha 5m njoo ntakupa 400k kwa mwezi mkataba miezi Tisa nakurudishia ela yako
Mkuu, fanya uweke odds. Tafuta timu yenye odds 3.7 ama 4.1Habari wananzengo.
Nina fedha ya kitanzania Tsh 1,000,000/= nataka niiwekeze mahali nipate elfu tano Kwa siku. Nipe mawazo wajumbe lengo langu mtaji upo palepale. Mimi nakuwa muwekezaji yeye anatumia fedha yangu Kama mtaji na kwa siku elfu tano yangu ananitumia
Mkuu ningependa kujua hii ni biashara gani??Mbongo atakutumia 5000 kila siku baada ya miezi mitatu ataanza kuleta story ohh biashara mbaya.. then atakula kona hata hiyo mil 1 yako haiharudi.
Kuna kijana alikuja na wazo lake la biashara nikashawishika kumpa hela 3,000,000. Kweli akaenda ajatekeleza vizuri kabisa. Tulikubaliana tutakuwa tunagawana nusu kwa nusu baada ya kutoa mshahara wake wa 150,000 kwa mwezi. Dogo alipiga kazi kwa moyo wote tukafika hadi kugawana laki 2 kwa mwezi. Baadae baada ya miezi kama 8 hivi dogo akaona kama mimi na mnyonya. Nafikiri watu walimshauri kuwa jamaa hafanyi chochote anachukua hela ya bure. Asijue kwamba wateja wengi nilikuwa nawapeleka mimi sababu ya network yangu. Akaanza visa hela haionekani, siku moja akaniambia kama vipi nikurudishie hela yako tu. Nikawa nimesha usoma mchezo.. akanirudishiahela akaanza kivyake.
Kwa kuwa nilishasoma biashara nzima nikatafuta kijana mwingine nikaanzisha pale pale karibu na yeye. Wateja wote nikahama nao. Sasa hivi nime mwajiri tena kama mfanyakazi.
Mkuu elezea vzr watu tufanye hii makituKwenye cryptocurrency yaani sarafu za kidigitali, kuna kitu tunaita staking au pia delegation, unailock hiyo m1 yako ni dola 400+ unakuwa unakusanya staking reward yaani faida huku mtaji wako huo ukiwa salama kabsa na siku ukiitaka unatoa yote.
Mzee huo udabwi udabwi Unapitia step zipiKwenye cryptocurrency yaani sarafu za kidigitali, kuna kitu tunaita staking au pia delegation, unailock hiyo m1 yako ni dola 400+ unakuwa unakusanya staking reward yaani faida huku mtaji wako huo ukiwa salama kabsa na siku ukiitaka unatoa yote.