kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
M Rutabo, lete habari, imekaa vizuri, niunganishie. Ila uombe Mungu mikosi ipite pembeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfuko gani huu?Ukiwekeza Milioni 15 UTTS Amis unapata gawio la 123,000/= Kwa mwezi..
Na wewe kwa jibu hili unaonyeaha Zaihiri ujui kuandikaKwa jibu hili umeonyesha dhaihiri swali lako halikuwa na maana yeyote.
Mbona rate haziko favorable kwa mfanya biashara mkuu. Nipe elimu ni namna gani watu wanaofanya P2P kwenye Binance na MEXC wanapata faidaForex trade kwenye exchange kama mexc hiyo 5000 unaipata ndani ya dak 20
BangiHabari wananzengo.
Nina fedha ya kitanzania Tsh 1,000,000/= nataka niiwekeze mahali nipate elfu tano Kwa siku. Nipe mawazo wajumbe lengo langu mtaji upo palepale. Mimi nakuwa muwekezaji yeye anatumia fedha yangu Kama mtaji na kwa siku elfu tano yangu ananitumia
Mnada upiihuomkuuNaenda mnadani nanunua nyama ya nguruwe kwa 5000 kwa kilo nanunua kilo 100 sawa na laki tano nawauzia wanaokaanga kwa 8000 kwa kilo naingiza faida ya 300,000/ kwa tripu moja nikitoa gharama za usafiri nabaki na 250,000/ kwa wiki naenda mara mbili kwahyo wakika wa laki tano kwa wiki. Laki Tano inayobaki nalangua kuku mnadani kwa 10,000 kwa kuku nachukua kuku 40 sawa na laki 400,000/ nawaleta town nauza kwa 15000 kwa kuku mmoja sawa na faida ya laki 2 kwa tripu kumbuka ninaponunu nyama ndo hapo hapo napo nunua kuku kwahyo nafanya biashara mbili kwa wakati mmoja.
Biashara zipo ambazo kwa 1 million unaingiza 400k to 500k per week na ikizidi sana basi ni week na siku mbili au tatu.
Ila sasa process yake unaweza ona unatapeliwa maana ni vigumu kumuamini mtu na mambo ya hela.
Kwa situation kama hii itakubidi ubaki na Million yako tu hamna namna coz ni risk ambayo akili haitakubali na ukizingatia hela yenyewe ni ya ngama.
Mbona mnashangaa kwan mnadani ukona nanjilinji uwa kuku wanauzaje?Mnada upiihuomkuu
Kwa darvmzee kilo ni 8000Naenda mnadani nanunua nyama ya nguruwe kwa 5000 kwa kilo nanunua kilo 100 sawa na laki tano nawauzia wanaokaanga kwa 8000 kwa kilo naingiza faida ya 300,000/ kwa tripu moja nikitoa gharama za usafiri nabaki na 250,000/ kwa wiki naenda mara mbili kwahyo wakika wa laki tano kwa wiki. Laki Tano inayobaki nalangua kuku mnadani kwa 10,000 kwa kuku nachukua kuku 40 sawa na laki 400,000/ nawaleta town nauza kwa 15000 kwa kuku mmoja sawa na faida ya laki 2 kwa tripu kumbuka ninaponunu nyama ndo hapo hapo napo nunua kuku kwahyo nafanya biashara mbili kwa wakati mmoja.
Uku nanjilinji kilo ata 4000 unapata.Kwa darvmzee kilo ni 8000
Hii chaiPale makumbusho Kuna taasisi Moja nimeweka Milion Moja ,kwa wiki napata lakitatu na 50 (Atlantic)
Ila hawa UTT kuna muda mahesabu yao kama siyaelewi kwani wanatoa asilimia ngapi? Na ni kwa mwezi au mwaka ?
Mbongo atakutumia 5000 kila siku baada ya miezi mitatu ataanza kuleta story ohh biashara mbaya.. then atakula kona hata hiyo mil 1 yako haiharudi.Habari wananzengo.
Nina fedha ya kitanzania Tsh 1,000,000/= nataka niiwekeze mahali nipate elfu tano Kwa siku. Nipe mawazo wajumbe lengo langu mtaji upo palepale. Mimi nakuwa muwekezaji yeye anatumia fedha yangu Kama mtaji na kwa siku elfu tano yangu ananitumia
Kuna mtu atalia soon, too good to be true, 350k per week mmhPale makumbusho Kuna taasisi Moja nimeweka Milion Moja ,kwa wiki napata lakitatu na 50 (Atlantic)