Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Naomba kujuzwa ni type gani ya engine inaweza kufit kwenye Nissan civilian. Kwa ku Forge alimradi gari ifanye kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najaribu kukimbia engine kwa jina la Nissan mkuu 😂😂Labda Nissan Patrol
Mitsubish canter au 14b ya toyotaNaomba kujuzwa ni type gani ya engine inaweza kufit kwenye Nissan civilian. Kwa ku Forge alimradi gari ifanye kazi.
Afunge ya Mitsubishi Rosa au Canter 4M40Mitsubish canter au 14b ya toyota
Kama ni Nissan Patrol zenye ile engine ya TD4.2 Kuna model za Nissan Civilian zinatumia engine hio pia.Labda Nissan Patrol
Nilitaka niku-tagg mzee, ndio uwanja wa nyumbani hapo.Afunge ya Mitsubishi Rosa au Canter 4M40
Hii ya canter imenivutia sana maana nizijuavyo canter sio za kitoto, nashukuru.Afunge ya Mitsubishi Rosa au Canter 4M40
Na inatumia mafuta vizuri, nguvu inakupa ya kutosha.Hii ya canter imenivutia sana maana nizijuavyo canter sio za kitoto, nashukuru.
Asiende kwenye 4m series achukue 4d series hasahasa 33. 4m ni mambo ya umeme yatampa headacheAfunge ya Mitsubishi Rosa au Canter 4M40
Mkuu mie sio mtaalamu sana wa magari but naona ni kutafuta matatizo zaidi gari ya Nissan kuifungia Engine ya Toyota au Kampuni nyingine doesn't make sense ni sawa na spare part za sumsung ukaweke kwenye simu za iPhone.Najaribu kukimbia engine kwa jina la Nissan mkuu 😂😂
5L haitofanya vizuri labda kama ni Nissan Short Base zile old model zilizokuja na RD32 na Td27.Mchawi 5L tu
Wala sio tatizo mkuuMkuu mie sio mtaalamu sana wa magari but naona ni kutafuta matatizo zaidi gari ya Nissan kuifungia Engine ya Toyota au Kampuni nyingine doesn't make sense ni sawa na spare part za sumsung ukaweke kwenye simu za iPhone.
Yap 1HZ ninaiamini sanaWeka 1hz unakuwa sawa na coaster za mjapan hapo Barabaran
Nadhani watu wengi Tanzania wana mentality kwamba Nissan ni gari mbaya, kitu ambacho si kweli. Sijui huwa wanaangalia nini hasa. Au hizo X-trail?Naomba kujuzwa ni type gani ya engine inaweza kufit kwenye Nissan civilian. Kwa ku Forge alimradi gari ifanye kazi.