AKILI KIJIKO
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 405
- 589
Mungu hapati faida yoyote kwa mtu yeyote kuchomwa moto; nitaeleza hili kwa mifano:Salaaam..
Kwanza kabisa naomba niweke msimamo wangu kiimani, mimi naamini mungu yupo na ndie muweza wa yote.
Turudi kwenye mada..nacho jua mimi adhabu huwa inatolewa ili iwe funzo kwa mkosaji au kwa watu wanao mzunguka huyo mkosaji..adhabu hii huwa ni fundisho kwa mkosaji ili asirudie tena kosa pia ni funzo kwa wengine ili wasifanye kosa hilo.
Haya sasa binadam wote watakao kufa wakiwa na dhambi wameahidiwa moto wa milele kule jehanamu kama adhabu..lakini pia tuna ambiwa kuwa baada ya adhabu hiyo hakuta kuwa na kifo tena wala dhambi na watu watakao kuwa na dhambi watabaki motoni milele..
SWALI:
je adhabu hiyo ya moto itakua ni funzo kwa nan??
Na je ni faida gani mungu ataipata kwa kuwa choma moto viumbe alio waumba mwenyewe..
Je shetani alipangwa ili maisha yawe hivi??
Yesu alikufa msalabani kwa sababu ya dhambi zetu wanadam ambazo chanzo chake ni shetani..je shetani hawezi kudhibitiwa na kupewa adhabu kali kwa kuharibu ulimwengu???maana watu wanajaa kwenye anasa kuliko kwenye nyumba za ibada takatifu..
Nawasilisha..karibuni
ukiwa unazini unapata faida gani?
mstari wa ngapi?Moto huo maumivu yake hayana mwisho, u will feel pain but you will never die, mwili bila roho huwezi sikia maumivu, hivyo mwili utachomwa ukiwa Pamoja na roho yake,, someni bible, ufunuo Wa yohana.
Mungu hapati faida yoyote kwa mtu yeyote kuchomwa moto; nitaeleza hili kwa mifano:
1. unapotupa nyama uliyonunua mwenyewe ukiikuta imeharibika
2. unapochoma takataka zilizotoka ndani ya nyumba yako
3. tunapozika wapendwa wetu waliotutoka
Katika mifano yote hii tunalazzimishwa na hali iliyokikuta kitu chetu tulichokuwa tunakithamini ila sasa kimeharibika, kwa huzuni tunakitupa au kukichoma
umauti uliomkuta mpendwa wetu, kwa huzuni sana tunamzika na kumuacha peke yake sehemu ambayo wakati akiwa hai asingekubali kukaa huko hata ungemuahidi nini!
Mungu anasema nafsi itendayo dhambi itakufa, na kwamba mshahara wa dhambi ni mauti, hivyo basi hali ya mtu kuwa na dhambi ambayo haijaondolewa (unahitaji toba liletalo ondoleo la dhambi), basi Mungu kwa huzuni atakuacha uende jehanam ambayo ni kama dampo la kiroho (uchafu wote huwashwa kwa moto dampo, ambapo moto wake hauzimi)
ili kudhihirisha huzuni ya Mungu, Mungu alimtoa mwanae pekee ili aje, ateswe na kufa kwa ajili ya mwenye dhambi mimi.
Na wewe pia unakaribishwa kama unajua kwamba ni mwenye dhambi (kama mimi) upokee msamaha bure.
YESU ANAKUPENDA
Nyie team infinity intelligence kwani hamuamini maandiko ya Vitabu vitakatifu vya mungu??AM BACK IN BUSINESS! Kumbe bado mjadala unaendelea? haya team free thinkers, team free ideas..team infinity intelligence njooni hapa tuuzime huu moto wa jehanam unao wapa watu hofu ya maisha kwa kuhofia kisichokuwepo...come on men let us enlighten the sufferer of this free planet!
Hahahahaaaa...man rise from fear of unknown.Nyie team infinity intelligence kwani hamuamini maandiko ya Vitabu vitakatifu vya mungu??
Link Surah As-Saffat [37:12]Ambacho najiuliza ni je nini kitachomwa? Ni mwili? Ni roho? Maana miili tayari ilishaoza, roho(spirit) inaweza kuungua kweli?
chanzo cha viumbe walio duniani ni kipi?AM BACK IN BUSINESS! Kumbe bado mjadala unaendelea? haya team free thinkers, team free ideas..team infinity intelligence njooni hapa tuuzime huu moto wa jehanam unao wapa watu hofu ya maisha kwa kuhofia kisichokuwepo...come on men let us enlighten the sufferer of this free planet!
Havina mwanzo vipo tu.chanzo cha viumbe walio duniani ni kipi?
kwanini vina mwisho?Havina mwanzo vipo tu.
Reina hili swali lako lilishaulizwa kwa aina ingine zamani sana. zama ambazo wewe, mimi au wazee wetu haikujulikana au kutegemewa kuwa watakuja kuishi juu ya ardhi hii(dunia).Ambacho najiuliza ni je nini kitachomwa? Ni mwili? Ni roho? Maana miili tayari ilishaoza, roho(spirit) inaweza kuungua kweli?
Hili neno "faida gani" nadhani ndiyo neno lililobeba uzito kwenye hoja yako hii.Salaaam..
Kwanza kabisa naomba niweke msimamo wangu kiimani, mimi naamini mungu yupo na ndie muweza wa yote.
Turudi kwenye mada..nacho jua mimi adhabu huwa inatolewa ili iwe funzo kwa mkosaji au kwa watu wanao mzunguka huyo mkosaji..adhabu hii huwa ni fundisho kwa mkosaji ili asirudie tena kosa pia ni funzo kwa wengine ili wasifanye kosa hilo.
Haya sasa binadam wote watakao kufa wakiwa na dhambi wameahidiwa moto wa milele kule jehanamu kama adhabu..lakini pia tuna ambiwa kuwa baada ya adhabu hiyo hakuta kuwa na kifo tena wala dhambi na watu watakao kuwa na dhambi watabaki motoni milele..
SWALI:
je adhabu hiyo ya moto itakua ni funzo kwa nan??
Na je ni faida gani mungu ataipata kwa kuwa choma moto viumbe alio waumba mwenyewe..
Je shetani alipangwa ili maisha yawe hivi??
Yesu alikufa msalabani kwa sababu ya dhambi zetu wanadam ambazo chanzo chake ni shetani..je shetani hawezi kudhibitiwa na kupewa adhabu kali kwa kuharibu ulimwengu???maana watu wanajaa kwenye anasa kuliko kwenye nyumba za ibada takatifu..
Nawasilisha..karibuni
Because of depletion of the life force.kwanini vina mwisho?
mkuu una andika kizungu kigumu sijakuelewa!Because of depletion of the life force.
Hoja zako zinaweza kuwa na ukweli kwakuwa sina ushahidi dhahiri wa kuthibitisha hilo usemalo lakini mimi naona hii hofu ya watu juu ya uwepo wa mungu na amri zake na moto wa jahanam bora iendelee kwasababu kwa kiasi fulani imani hii inapunguza uovu, uhalifu na violation of human rightsHahahahaaaa...man rise from fear of unknown.
1.Kwanza vina maandiko ya historia za kale za jamii watu wa M.ya kati...havituhusu
2.Pili vimejaa hofu na vitisho kwa watu kama moto wa jehanamu...havituhusu
3.Tatu vinatofautiana sana vyenyewe kwa vyenyewe,,,both BBL & QRN,...havituhusu
4.Vina contradiction kibao so havieleweki,...havituhusu
5.Waandishi waliwezaje kutofutisha sauti ya Mungu na mawazo yao kwenye kuviandika?...havituhusu
Man! the list could fill the whole forum but let me end it here.
Ingawaje swali/ maswali unayotafuta majibu yake ni ya msingi sana kwa maoni yangu umeanzia mwisho badala ya kuanzia mwanzo.Salaaam..
Kwanza kabisa naomba niweke msimamo wangu kiimani, mimi naamini mungu yupo na ndie muweza wa yote.
Turudi kwenye mada..nacho jua mimi adhabu huwa inatolewa ili iwe funzo kwa mkosaji au kwa watu wanao mzunguka huyo mkosaji..adhabu hii huwa ni fundisho kwa mkosaji ili asirudie tena kosa pia ni funzo kwa wengine ili wasifanye kosa hilo.
Haya sasa binadam wote watakao kufa wakiwa na dhambi wameahidiwa moto wa milele kule jehanamu kama adhabu..lakini pia tuna ambiwa kuwa baada ya adhabu hiyo hakuta kuwa na kifo tena wala dhambi na watu watakao kuwa na dhambi watabaki motoni milele..
SWALI:
je adhabu hiyo ya moto itakua ni funzo kwa nani??