IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
Ndo shida ya kuwapeleka shule............kizazi cha nyoka....Aisee shetani mbaya sana....amekufikirisha mpaka hili......
ahahahahahaaaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo shida ya kuwapeleka shule............kizazi cha nyoka....Aisee shetani mbaya sana....amekufikirisha mpaka hili......
kikweli hakuna moto wa mateso. bali waovu watakufa milele na waadilifu wataishi milele. wengi wanatafsiri vibaya mfano wa Lazaro na Tajiri. kwa habari zaidi ingia www.jw.org/sw. utafute kitabu biblia inafundisha nini hasa.Salaaam..
Kwanza kabisa naomba niweke msimamo wangu kiimani, mimi naamini mungu yupo na ndie muweza wa yote.
Turudi kwenye mada..nacho jua mimi adhabu huwa inatolewa ili iwe funzo kwa mkosaji au kwa watu wanao mzunguka huyo mkosaji..adhabu hii huwa ni fundisho kwa mkosaji ili asirudie tena kosa pia ni funzo kwa wengine ili wasifanye kosa hilo.
Haya sasa binadam wote watakao kufa wakiwa na dhambi wameahidiwa moto wa milele kule jehanamu kama adhabu..lakini pia tuna ambiwa kuwa baada ya adhabu hiyo hakuta kuwa na kifo tena wala dhambi na watu watakao kuwa na dhambi watabaki motoni milele..
SWALI:
je adhabu hiyo ya moto itakua ni funzo kwa nan??
Na je ni faida gani mungu ataipata kwa kuwa choma moto viumbe alio waumba mwenyewe..
Je shetani alipangwa ili maisha yawe hivi??
Yesu alikufa msalabani kwa sababu ya dhambi zetu wanadam ambazo chanzo chake ni shetani..je shetani hawezi kudhibitiwa na kupewa adhabu kali kwa kuharibu ulimwengu???maana watu wanajaa kwenye anasa kuliko kwenye nyumba za ibada takatifu..
Nawasilisha..karibuni
Imeandikwa magugu na ngano vitamea pamoja na kukua pamoja hadi siku ya mavuno; siku hiyo ndipo bwana atakapowaambia watumishi wake ngano ikusanyeni ghalani na magugu myachomelee mbali. Maana yake hapa ni kwamba waovu watateketezwa kwa moto na kuwa majivu na mahali pao hapataonekana tena; hiyo ndio maana ya milele: ushahidi wa yale majivu ni kama wanaendelea kuungua vileSalaaam..
Kwanza kabisa naomba niweke msimamo wangu kiimani, mimi naamini mungu yupo na ndie muweza wa yote.
Turudi kwenye mada..nacho jua mimi adhabu huwa inatolewa ili iwe funzo kwa mkosaji au kwa watu wanao mzunguka huyo mkosaji..adhabu hii huwa ni fundisho kwa mkosaji ili asirudie tena kosa pia ni funzo kwa wengine ili wasifanye kosa hilo.
Haya sasa binadam wote watakao kufa wakiwa na dhambi wameahidiwa moto wa milele kule jehanamu kama adhabu..lakini pia tuna ambiwa kuwa baada ya adhabu hiyo hakuta kuwa na kifo tena wala dhambi na watu watakao kuwa na dhambi watabaki motoni milele..
SWALI:
je adhabu hiyo ya moto itakua ni funzo kwa nan??
Na je ni faida gani mungu ataipata kwa kuwa choma moto viumbe alio waumba mwenyewe..
Je shetani alipangwa ili maisha yawe hivi??
Yesu alikufa msalabani kwa sababu ya dhambi zetu wanadam ambazo chanzo chake ni shetani..je shetani hawezi kudhibitiwa na kupewa adhabu kali kwa kuharibu ulimwengu???maana watu wanajaa kwenye anasa kuliko kwenye nyumba za ibada takatifu..
Nawasilisha..karibuni
Mkuu kwani mtu akishavuna mazao yake aliyo lima shambani kwake nakuyahifidhi stoo kule shambani Kuna bakia tu magugu yasio na faida unaya choma moto hivyo ndio mungu atavyo fanya wanaadam walio tii amrii zake na kuzitenda atawahifadhi vizuri ila wale wasio fuata nisawa na magugu atawachoma moto hawana faida yoyoteSalaaam..
Kwanza kabisa naomba niweke msimamo wangu kiimani, mimi naamini mungu yupo na ndie muweza wa yote.
Turudi kwenye mada..nacho jua mimi adhabu huwa inatolewa ili iwe funzo kwa mkosaji au kwa watu wanao mzunguka huyo mkosaji..adhabu hii huwa ni fundisho kwa mkosaji ili asirudie tena kosa pia ni funzo kwa wengine ili wasifanye kosa hilo.
Haya sasa binadam wote watakao kufa wakiwa na dhambi wameahidiwa moto wa milele kule jehanamu kama adhabu..lakini pia tuna ambiwa kuwa baada ya adhabu hiyo hakuta kuwa na kifo tena wala dhambi na watu watakao kuwa na dhambi watabaki motoni milele..
SWALI:
je adhabu hiyo ya moto itakua ni funzo kwa nan??
Na je ni faida gani mungu ataipata kwa kuwa choma moto viumbe alio waumba mwenyewe..
Je shetani alipangwa ili maisha yawe hivi??
Yesu alikufa msalabani kwa sababu ya dhambi zetu wanadam ambazo chanzo chake ni shetani..je shetani hawezi kudhibitiwa na kupewa adhabu kali kwa kuharibu ulimwengu???maana watu wanajaa kwenye anasa kuliko kwenye nyumba za ibada takatifu..
Nawasilisha..karibuni
Hatupati taabu kwa watu kama nyinyi.. Kwavile mmejiumba wenyewe.!Hakuna kitu kama hicho ni nadharia tu ambazo watu kama wewe walizianzisha na kuwaaminisha watu kuwa kuna kuchomwa moto kwa watenda dhambi siku ya mwisho Ili kupunguza madhambi kwa kiasi fulani
Hatupati taabu kwa watu kama nyinyi.. Kwavile mmejiumba wenyewe.!
Imeandikwa magugu na ngano vitamea pamoja na kukua pamoja hadi siku ya mavuno; siku hiyo ndipo bwana atakapowaambia watumishi wake ngano ikusanyeni ghalani na magugu myachomelee mbali. Maana yake hapa ni kwamba waovu watateketezwa kwa moto na kuwa majivu na mahali pao hapataonekana tena; hiyo ndio maana ya milele: ushahidi wa yale majivu ni kama wanaendelea kuungua vile
Kuongea usikie mlio wa sauti yako ni haki yako; wenye akili watajua na kufahamuUkiisha kuanza na Imeandikwa basi ni lazima uwe bias! Huwezi kutumia vifungu vilivyo kwenye nyaraka ambayo nayo ni kielelezo kimojawapo kwenye kesi iliyo mahakamani kwa ajili ya utetezi...
swali gani ilo ulilouliza,faida za kuzini ni raha inayotokana na kukojoaUkijibiwa
Utapata faida gani?
Ulipoambiwa usizini, kwanini ulizini? Na ulipozini ulipata faida gani? Zaidi ya kujutia na kujilamu!
Ulipoambiwa usiseme uongo,usitamani mwanamke/mume asiye wako,usiibe,usiue,usiseme uongo,waheshimu baba na mama,n.k ulipovunja yote hayo/au moja kati ya hayo ulipata faida gani?
raha inayotokana na kukojoaukiwa unazini unapata faida gani?
Kuongea usikie mlio wa sauti yako ni haki yako; wenye akili watajua na kufahamu
We hufai kuwa katika discussion, umeanza unatukana. Mimi sijatukana, nimeweka arguments zangu, it is your duty to prove me wrong! Usinitukne. Vitabu vya dini havina scientific proof, ndiyo mastory nisiyoyataka. I am a scientist, for your information, a specialist in Microbiology, najua a lot about these micro organisms! Ninachouliza, kwa nini aliumba harmful bacteria? Na kwa nini Mungu aende katika intricacies of making/kuumba cellulase, cellulose and the like! Majibu uliyo nayo ni ya imani, I need scientific answers, not revelations!Mungu hayupo kwa hiyo wewe amekuumba mamako siyo??
Halafu unavyouliza maswali ya kitoto na kipuuzi kabisa eti watu weusi,wachina wazungu nk wametokea wap.Ww chukua kitabu cha dini ukisome utapata majibu yako yote kiufasaha zaidi na mahali ukikwama mtafute kiongozi wako wa dini atakufafanulia vizuri
Alaf kitu kingine unavyodai mungu kaumba bacteria ili watudhuru nan kakwambia hayo maneno.Si bacteria wote wanamadhara kwa binadamu wengine wanafaida kubwa sana kuliko unavyofikiria,mfano bacteria anaeitwa Escherichia colli anaeishi kwenye utumbo mpana wa binadamu anasaidia upatikanaji wa vitamin B.Halaf bacteria wengine wanatumika viwandani kwenye shughuli mbalimbali mfano utengenezwaji wa siagi, mkate nk
Bacteria wanaoishi kwenye utumbo mwembamba wa wanyama kama ng'ombe wanasaidia upatikanaji wa kimeng'enya kinachoitwa Cellulase kwa ajili ya kumeng'enya cellulose