LEWANGANGUMU
JF-Expert Member
- Feb 19, 2016
- 281
- 160
hyooo kama inaukweli ndani yakeKwanza lazima utambue kuwa akili za Mungu hazichunguziki;
Kwani asipowachoma anapata hasara gani?
Unachoshindwa kujua unadhani wewe ni wa thamani sana machoni pa Mungu.
Kwa Mungu mwanadamu ni udongo na yeye ni mfinyanzi.
Mfinyanzi anapofinyaga gae (Kigae) harafu kikawa kibovu akikibomoa utamuuliza kwa nini kakibomoa?
Kwa mantiki hiyo, huwezi kupata ujasiri wa kumhoji Mungu kama huwezi kumtii yeye aliyekufinyanga.
ur a great thinker