Ni furaha iliyoje kurejea nyumbani baada ya kukaa nje ya nchi kwa muda mrefu?

Dah
Karibu sana Bongo, kama ni kweli.
Hope umekuja na nyongeza kutoka kisiwani ukerewe. West midland itakumis sana
 
Huyu ndugu anaihitaji kupongezwa sana.
Kurudisha timu Bongo siyo jambo la masiahala, lataka ujasiri sana.
 
Eti nilimiss sauti za chura,unawajua chura wa bongo mzee?
Au ni wale chura wanaokaa ndani ya dera
Mbezi beach chini, kunduchi, mikocheni, Ununio kukaribishwa na Vyura ni must.
Kwa mtu aliyekaa ughaibuni for more than a decade lazima awe excited kurejea Bongo, naelewa mantiki ya furaha yake. Hasa akikumbuka shuruba za kitchen porter, care supports, catering n.k mwache mwana afurahi. Naamini atakuwa amejiandalia roadmap ya life after ughaibuni
Bongo patamu.
 
Eti nlipokelewa Kwa nyuso zenye furaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Labda ka umeshukia sauzi sio bongo hii
We subiri tu akianza kuambiwa "we umerudi miaka yote hiyo umekaa ulaya huna lolote"
Ndio akili itamkaa sawa
 
Hongera sana kwa kurudi nyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very good decision mkuu nyumbani ni nyumbani..hakikisha upo kijijini kabisa utaenjoy mwanzon ila badae utaanza kuboreka
 
Mimi niliondoka kimoja mkuu.

Nilivyoondoka sikupanga kurudi, ukiondoa labda likizo.

Na sijapata cha kunibadilisha mawazo bado.
Mkuu hujapata Ile home sickness syndrome?

Mdogo wangu alienda Belgium kusoma na kufanya kazi baada ya masomo but after six good years alikataa kabisaa kukaa kule ambapo analipwa vzr anaishi pazuri na mchumba alipata pia

His reason kwamba amemiss maisha yakiafrica, anasema alikuwa anaenda somewhere just kufanya utalii wakuangalia ng'ombe na mbuzi...


Mengine ni company...yaaani maisha yakwenda Leo kusalimia hapa kesho kusalimia huku...

Lastly maisha ya upweke upweke tuu.
 
Mkuu mimi huwa nafikiri ikiwezekana kuweka mazingira mazuri ya kuishi kwenye sayari nyingine, ninaweza kwenda.

Nimeondoka Tanzania kipindi cha utawala wa Mkapa na sijapata home sickness, kwa sababu nimehamisha home nimeileta huku.

Shakespeare aliandika kuwa kuwa the whole world is a stage and we are actors. Nikichoka hapa ndiyo kwanza nahamia Japan nipate utamaduni mpya, huko Tanzania nishakujua.

Lakini nafikiri pia ukweli kwamba immediate family inakuja huku kila mwaka inasaidia.
 
Bila kujari, kama karudi na nini, knowledge aliyorejea nayo ni potential asset ambayo akiitumia vizuri itamsaidia kuboresha maisha yake.
Hamna cha potential nchi hii , hii nchi inaendeshwa na wapumbavu na wamerathimisha Rushwa na uchawa kuwa ndio pontetial na si skills wala talent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…