sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Tanzania watu hawana furaha na nchi Kwa namna ambavyo inawatendea wananchi wake.Mimi nashangaa baada ya mrudi kwao kusema kalakiwa na Watanzania wenye furaha, naona watu wanaandika kama vile Tanzania hakuna watu wenye furaha.
Na mtu mwingine kasema mdogo wake karudi Tanzania baada ya kuona upweke Ubelgiji, kuna mtu kasema huyo mtu aliyerudi ni mjinga.
Unaweza kuwa na furaha Kwa sababu zako binafsi kaama kuwa na familia au individual success
Ila nchi haitupi furaha