Ni furaha isiyo kifani kuona kila mtanzania anamudu mahitaji yake ya kila siku

MtotoKautaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2018
Posts
993
Reaction score
2,045
Nitoe wito au ushauri wa viongozi waliopa madarakani, serikali inayoongozwa na Rais Samia Hassan Suluhu.

Tanzania kuna kila aina ya resources ambazo zinamudu kumfanya kila MTANZANIA awe na uwezo wa kumudu MAHITAJI yake ya kila siku maishani mwake.

Tutangulize uzalendo, mtanzania mwenzako ni ndugu yako as long as umepewa dhamana ya kusimamia resources za umma Tafadhali tanguliza uzalendo ili sisi WATANZANIA wote tuishi Kwa furaha.

Unajisikiaje kuona mtanzania mwenzako ana kufa Kwa njaa??

Mtanzania mwenzako anachanganyikiwa kwasabab ya ugumu wa maisha???

Mtanzania mwenzako ana kufa Kwa pressure na kiharusi kwasabab ya kukosa haki yake????

Mtanzania mwenzako anaishi katika mazingira magumu na wewe msimamamizi wa resources za Taifa unakula maisha bila aibu na MTANZANIA mwenzako ana kufa na njaa?????

WATANZANIA TUPENDANE KIONGOZI FAHAMU UONGOZI NI DHAMANA LEO UNAO KESHO HAUNA, SOTE TUPENDANE TUWE WAZALENDO ILI KWA UMOJA SISI SOTE TUWEZE KUKIDHI MAHITAJI YETU NA KUISHI VIZURI.

REGARDS
ANGALIENI NCHI YA "BRUNEI" UKIPATA MUDA FATILIA JAPO KIDOGO KUHUSU HII NCHI UTAONA NINI MAANZA YA UZALENDO NA UPENDO. IM SHORT KATIKA NCHI YA BRUNEI NO ONE IS POOR
 
ianze na marekebisho ya katiba ili kuwapo uchaguzi huru na wa haki.

#NoReformsNoElection
 
Nia huwa ni hivyo ila wakishaingia madarakani hubadilila ....kuiba kujilimbikizia mali kulinda vyeobyao kuua wanaowapinga ....wanasahau dhima kuu wao kuwa pale.....ghafla wao ndio wana akili zaidi wote....haki zote ni wao hadi uhai wako ni wao
 
Nitoe wito au ushauri wa viongozi waliopa madarakani, serikali inayoongozwa na Rais Samia Hassan Suluhu.

Tanzania kuna kila aina ya resources ambazo zinamudu kumfanya kila MTANZANIA awe na uwezo wa kumudu MAHITAJI yake ya kila siku maishani mwake.

Tutangulize uzalendo, mtanzania mwenzako ni ndugu yako as long as umepewa dhamana ya kusimamia resources za umma Tafadhali tanguliza uzalendo ili sisi WATANZANIA wote tuishi Kwa furaha.

Unajisikiaje kuona mtanzania mwenzako ana kufa Kwa njaa??

Mtanzania mwenzako anachanganyikiwa kwasabab ya ugumu wa maisha???

Mtanzania mwenzako ana kufa Kwa pressure na kiharusi kwasabab ya kukosa haki yake????

Mtanzania mwenzako anaishi katika mazingira magumu na wewe msimamamizi wa resources za Taifa unakula maisha bila aibu na MTANZANIA mwenzako ana kufa na njaa?????

WATANZANIA TUPENDANE KIONGOZI FAHAMU UONGOZI NI DHAMANA LEO UNAO KESHO HAUNA, SOTE TUPENDANE TUWE WAZALENDO ILI KWA UMOJA SISI SOTE TUWEZE KUKIDHI MAHITAJI YETU NA KUISHI VIZURI.

REGARDS
ANGALIENI NCHI YA "BRUNEI" UKIPATA MUDA FATILIA JAPO KIDOGO KUHUSU HII NCHI UTAONA NINI MAANZA YA UZALENDO NA UPENDO. IM SHORT KATIKA NCHI YA BRUNEI NO ONE IS POOR
Gentleman,
kua maskini au tajiri Tanzania ni uamuzi binafsi wa mtu.

Ni muhimu kuacha uvivu na kuchagua kazi.
Ajira za uhakika na za kutosha waTanzania wote zipo shambani, kitume kwenye kilimo ili kuondokana na dhana potofu ya ugumu wa maisha na kulala njaa kwa uzembe wao.🐒
 
na ile ajira inayolipa sana kwa vijana ya kuwa Chawa wa Mama je mbona hujaitaja?
 
ni muhimu zaidi kujiepusha na uvivu na uzembe,

uvivu ni adui mkubwa wa ujenzi wa Taifa kwani ndio kiini haswa kisababishacho njaa gentleman 🐒
 
Washika tonge hao hawawezi kukuelewa wana minyororo yenye kutu, (unworking government machineries) rejea mpango wa maono ya 2025,

Tanzania national development Vision 2025, huu mpango umeyeyushwa

Changamoto nyingi tunazo kabiliana nazo husababishwa na binadamu, (uncertainty)

Maamuzi ya kisiasa huwa Yana pande mbili chanya na hasi tunakabiliana na maamuzi hasi

Silence surrenders public responsibilities
 
Nitoe wito au ushauri wa viongozi waliopa madarakani, serikali inayoongozwa na Rais Samia Hassan Suluhu.

Tanzania kuna kila aina ya resources ambazo zinamudu kumfanya kila MTANZANIA awe na uwezo wa kumudu MAHITAJI yake ya kila siku maishani mwake.

Tutangulize uzalendo, mtanzania mwenzako ni ndugu yako as long as umepewa dhamana ya kusimamia resources za umma Tafadhali tanguliza uzalendo ili sisi WATANZANIA wote tuishi Kwa furaha.

Unajisikiaje kuona mtanzania mwenzako ana kufa Kwa njaa??

Mtanzania mwenzako anachanganyikiwa kwasabab ya ugumu wa maisha???

Mtanzania mwenzako ana kufa Kwa pressure na kiharusi kwasabab ya kukosa haki yake????

Mtanzania mwenzako anaishi katika mazingira magumu na wewe msimamamizi wa resources za Taifa unakula maisha bila aibu na MTANZANIA mwenzako ana kufa na njaa?????

WATANZANIA TUPENDANE KIONGOZI FAHAMU UONGOZI NI DHAMANA LEO UNAO KESHO HAUNA, SOTE TUPENDANE TUWE WAZALENDO ILI KWA UMOJA SISI SOTE TUWEZE KUKIDHI MAHITAJI YETU NA KUISHI VIZURI.

REGARDS
ANGALIENI NCHI YA "BRUNEI" UKIPATA MUDA FATILIA JAPO KIDOGO KUHUSU HII NCHI UTAONA NINI MAANZA YA UZALENDO NA UPENDO. IM SHORT KATIKA NCHI YA BRUNEI NO ONE IS POOR
Chini ya udhalimu wa ccm hilo usitegemee kabisa, ubinafsi umetamalaki
 
Back
Top Bottom