Ni game gani kwenye simu au PC ulicheza ka kufika the highest score?

Ni game gani kwenye simu au PC ulicheza ka kufika the highest score?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Weka screenshots za scores waje watu wakuchallenge.
Namaanisha games za aina yoyote za kielekronic na zingine zikijumuisha PlayStaions.

Mi jana nimekutana na haka kadude kaninusumbua mwenye aidia anipe.
Kama umekacheza na unako tupigie picha kakiwa kamevurugika na baada ya kukapanga

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

20220710_091142.jpg
 
Nipe mbinu aisee ndio kwanza nimekaona juzi sijawahi kukacheza kutokana na ubize sasa nipo likizo
Mkuu hicho kidude huwez kukipanga mpaka upate FORMULA kwa hiyo nenda kwanza ukatafute formula yake then utaweza kukipanga...


N.B hicho kidude ni chepesi mno kukipanga yaani utaweza kukipanga chini ya dakik 3, ila ujue formula...
 
Back
Top Bottom