Ni game gani kwenye simu au PC ulicheza ka kufika the highest score?

Ni game gani kwenye simu au PC ulicheza ka kufika the highest score?

Gta san andrea ps2
Far cry ya xbox live
Call of juty.ps2&4
Midknight club3 ps2
Gta 5 ilivotoka tu sikulaza damu
Motor Gp ps2&ps4
Need for speed underground ps2
Metal gear solid v ps4
Taken ps2
Bila kusahau sijui kama kuna mtu ambae ni mpenda magem hajacheza
God of war & God hand mortocombat?
Kwa Leo ni hayo tu ila yako mengine nishayasahauugu
View attachment 2285920
[emoji91] gamers gamers [emoji725]
 
Weka screenshots za scores waje watu wakuchallenge.
Namaanisha games za aina yoyote za kielekronic na zingine zikijumuisha PlayStaions.

Mi jana nimekutana na haka kadude kaninusumbua mwenye aidia anipe.
Kama umekacheza na unako tupigie picha kakiwa kamevurugika na baada ya kukapanga

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

View attachment 2285967
Zombie shooter 1
 
Hapa bado hujaanza kukisolve, step ya kwanza tengeneza white cross, ambayo edge pieces zitafanana na rangi ya center pieces, halaf kuna formula unapiga (RUR'U') irudie hii formula mpk nyeupe zijipange, hapo utakua umemaliza step 1, step2 na 3 siwezi kuelezea kwa kuandika. Mm natumia dk2 kukipanga chote hiko step zipo3 formula zipo 2 tu! Unarudia rudia
Formula ya kwanza inaitwa righty alg
Formula ya pili inaitwa lefty alg
 
GTA San Andreas, liberty city,vicecity, vice city stories, liberty city stories, nimezimaliza mission zote na side missions zake, GTA 5 sikulicheza kabisa muda sikua nao, Ila GTA vcs nililimaliza kwa wiki2 na nusu tu, nilikuwa natumia mbinu ya save state katikati ya mission, kwahiy nikifail naendelea palepale katikati ya mission 😹
 
Back
Top Bottom