Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Ahahaha unakwama wap mzee GTA.V nmemaliza mara mbili au tatu hv mission ya mwisho unachagua character wako me nlimchukua franklin akapewa kibarua cha kuua watu wamegawanywa kwa heruf a-c aliambiwa awamalize na Trevor philips na Michael townsend ila yule boya alietoa kazi akauliwa yy alitiwa kwenye buti la gari wakamtupa kwenye mteremko chini gari likalipuka wahuni watatu wakasepa kwa mwendo wa slow motion kibabe zaid game inaisha maandishi yanapanda juu kama movie vile..GTA zote isipokuwa GTA V ambapo mundq haunitoshi tena