Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Mkuuu nilimuachia dogo nae saivi kakua alishauzaga izo xbox ps2 na ps4 ila ukiitaji naweza kukuelekeza wapi pakuzipatia japo wana kacharg kidogoNapataje hizo game
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuuu nilimuachia dogo nae saivi kakua alishauzaga izo xbox ps2 na ps4 ila ukiitaji naweza kukuelekeza wapi pakuzipatia japo wana kacharg kidogoNapataje hizo game
Poa mkuu.Hebu kapige picha ukiwa ushakapanga
Dah yan hiu jf yangu sipati hata update ya notification yani nina notification za tokea june 18 cjui tatzo nn..Mkuu PM umefunga?
Hahah hili game mim nmecheza mpaka nkaona ni game la watoto maana hata halikuniumiza kichwa..Hili game lina level 10,000 hapo nmespend su chini ya miezi mi 3 [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2286187
Angalia setting ya App mpya ya JFDah yan hiu jf yangu sipati hata update ya notification yani nina notification za tokea june 18 cjui tatzo nn..
Hili rahisi bhanaHili game lina level 10,000 hapo nmespend su chini ya miezi mi 3 😁😁😁
View attachment 2286187
Bar hapoMbona unaishi sehemu chafu sana
Nshafuta nka~download tena lakin hamna ktu yaan hapa nkitaka update ya uzi ambao nlicomment siipat mpaka niende kwenye subscribed...damn it..Angalia setting ya App mpya ya JF
Una APP ipi kati ya hizi mbili?Nshafuta nka~download tena lakin hamna ktu yaan hapa nkitaka update ya uzi ambao nlicomment siipat mpaka niende kwenye subscribed...damn it..
Nina hii ya blue (kushoto)..Una APP ipi kati ya hizi mbili?
Huwa nalicheza daily na nishaanza kuliona la kawaida. Sahivi napambana na kuminimize muda wa kumaliza tu.Hahah hili game mim nmecheza mpaka nkaona ni game la watoto maana hata halikuniumiza kichwa..
Kama unataka kuumiza kichwa kacheze SUDOKU levek ya expert..[emoji119][emoji119]
Hahh njoo kwa SUDOKU huk mkuu...Huwa nalicheza daily na nishaanza kuliona la kawaida. Sahivi napambana na kuminimize muda wa kumaliza tu.
I wish I would have a time to waste like you dude.Weka screenshots za scores waje watu wakuchallenge.
Namaanisha games za aina yoyote za kielekronic na zingine zikijumuisha PlayStaions.
Mi jana nimekutana na haka kadude kaninusumbua mwenye aidia anipe.
Kama umekacheza na unako tupigie picha kakiwa kamevurugika na baada ya kukapanga
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
View attachment 2285967
Hahh njoo kwa SUDOKU huk mkuu...
Kak unapiga level ya extreme ama...??Ndio naizungumzia.
Umeniwahi mkuu[emoji23]Snake xenzia[emoji216]
ExpertKak unapiga level ya extreme ama...??
Njoo kwenye extreme mkuu...Expert