Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Ahahaha unakwama wap mzee GTA.V nmemaliza mara mbili au tatu hv mission ya mwisho unachagua character wako me nlimchukua franklin akapewa kibarua cha kuua watu wamegawanywa kwa heruf a-c aliambiwa awamalize na Trevor philips na Michael townsend ila yule boya alietoa kazi akauliwa yy alitiwa kwenye buti la gari wakamtupa kwenye mteremko chini gari likalipuka wahuni watatu wakasepa kwa mwendo wa slow motion kibabe zaid game inaisha maandishi yanapanda juu kama movie vile..GTA zote isipokuwa GTA V ambapo mundq haunitoshi tena
Mkuu cover fire uko stage ya ngapiCover fire
Into the dead
Not solved yet
Mkuu mpka leo hujajua namna ya ku~solve hichi kidude..?Not solved yet
Nilimaliza level zoteMkuu cover fire uko stage ya ngapi
Bado aisee nipe formulaMkuu mpka leo hujajua namna ya ku~solve hichi kidude..?
Ntafute inbox nkupe formula ya ku~solve hiki kidude...Bado aisee nipe formula
Maana hata mim ninacho hapa home ila kishanichosha maana nshakipanga san tuh..[emoji28]Bado aisee nipe formula
Poa mkuu maana kananiumiza sana kichwa natani nijue formula niwe napoteza nako mudaNtafute inbox nkupe formula ya ku~solve hiki kidude...
Hebu kapige picha ukiwa ushakapangaMaana hata mim ninacho hapa home ila kishanichosha maana nshakipanga san tuh..[emoji28]
Mkuu PM umefunga?Ntafute inbox nkupe formula ya ku~solve hiki kidude...
Napataje hizo gameGta san andrea ps2
Far cry ya xbox live
Call of juty.ps2&4
Midknight club3 ps2
Gta 5 ilivotoka tu sikulaza damu
Motor Gp ps2&ps4
Need for speed underground ps2
Metal gear solid v ps4
Taken ps2
Bila kusahau sijui kama kuna mtu ambae ni mpenda magem hajacheza
God of war & God hand mortocombat?
Kwa Leo ni hayo tu ila yako mengine nishayasahauugu
View attachment 2285920