Ni game gani kwenye simu au PC ulicheza ka kufika the highest score?

Nshafuta nka~download tena lakin hamna ktu yaan hapa nkitaka update ya uzi ambao nlicomment siipat mpaka niende kwenye subscribed...damn it..
Una APP ipi kati ya hizi mbili?
 

Attachments

  • Screenshot_20220716-080041_One UI Home.jpg
    31.6 KB · Views: 23
Hahah hili game mim nmecheza mpaka nkaona ni game la watoto maana hata halikuniumiza kichwa..
Kama unataka kuumiza kichwa kacheze SUDOKU levek ya expert..[emoji119][emoji119]
Huwa nalicheza daily na nishaanza kuliona la kawaida. Sahivi napambana na kuminimize muda wa kumaliza tu.
 
I wish I would have a time to waste like you dude.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…