Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

Ford f150 raptor all terrain moja qali
 
Napenda Speed & Power kama Bongo barabara zingeruhusu basi Lamborghini aventador au Bugatti veyron na sportcars zingine ningetamba nazo ndotoni 😀
Siyo ndotoni tu siku utaendesha kweli mkuu,dunia inabadilika barabara zinaboreshwa, hoping for the best...😀
 
Ulivyoandika kama una uhakika 100% sema umepitiwa tu ndugu yangu zipo zimetoka kuanzia 2018 wewe hii 2024 unasema hakuna?
Jaman naomba ushauri wakuu,
Mimi mwajiriwa mpya natafuta gari ya kwendea kazini umbali wa km 15 kwenda kazini. Bajet niliyonayo ni m 5 nahitaji kutoka kwa MTU niko Arusha ni gari gani nayoweza Kuanza nayo?
Nashukuru wakuu .
 
Jaman naomba ushauri wakuu,
Mimi mwajiriwa mpya natafuta gari ya kwendea kazini umbali wa km 15 kwenda kazini. Bajet niliyonayo ni m 5 nahitaji kutoka kwa MTU niko Arusha ni gari gani nayoweza Kuanza nayo?
Nashukuru wakuu .
Nipo Arusha ila baada ya sikukuu ntasafiri ukiweza jazia upate 7m ununue IST au rav 4 vvti engine yenye 2 wheel drive hizi ni gari ngumu sana kwa mtu anaeanza ukiwa tayari 15,Jan tukijaaliwa ntakua nimerudi maana nafata Land Cruiser na Mazda CX-5 SA..
 
Nipo Arusha ila baada ya sikukuu ntasafiri ukiweza jazia upate 7m ununue IST au rav 4 vvti engine yenye 2 wheel drive hizi ni gari ngumu sana kwa mtu anaeanza ukiwa tayari 15,Jan tukijaaliwa ntakua nimerudi maana nafata Land Cruiser na Mazda CX-

Asante boss, Hila kwa sasa bajeti yangu ilkuwa hiyo kaka .
Sina experience yoyote tofauti na kumaliza driving course veta mwezi huu, hivo nahtaji usafiri kwa bei hiyo boss. Pia yenye fuel consumption ndogo , nakubali kukosolewa kama nmekosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…