Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

Tupande juu tushuke chini
Ranger rover Evoque ni balaa
Magari karibu yote ya land rover yana maisha mafupi sana na yana magonjwa ya hovyo na ni sumbufu sana,
Kuna jamaa yangu ana hii range rover vella, akifungua bonnet nayaona kabisa matatizo ya land rover 109, ya miaka ya 70, leakeges kwenye engine na gearbox
Ila kwa sura na features aah, wapo vizuri sana
 
Magari karibu yote ya land rover yana maidha mafupi sana na yana magonjwa ha hovyo na sumbufu sana,
Kuna jamaa yangu ana hii range rover vella, akifungua bonnet nayaona kabisa matatizo o ya land rover 109, ya miaka ya 70, leakeges kwenye engine na gearbox
Ila kwa sura na features aah, wapo vizuri sana
Aise wanajitahidi sana
Kumiliki hyo gari ni kama umeoa mke ana sura nzuri ana umbo zuri ila hajatulia anachapwa sana ndani
 
maxresdefault (4).jpg
 
Hata wakiniambia ina CC kubwa, hilo ndio chaguo langu. Ingawa huju ninapoishi kwa kikimanjaro kuna outlander nyingi za kutoka kenya na watu wanaanza kuzielewa.
Outlander new model nayo ina balaa...
Sema bongo mzunguko tu wa hela ni mdogo wenye hela ni wachache sana
 
Back
Top Bottom