Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
G wagon ni gari kweli sema ina kodi Mlima Kilimanjaro ni mfupi..G Wagon
Maisha bila unafiki hayaendi.Ndiyo maana Mimi huku kijijini napendelea kuwaambia wanakijiji kuwa mkiona niko bize na simu jueni niko kwenye kikao na matajiri wenzangu wa Jamiiforums maana kwa hizi gari mlizotaja asiwadanganye mtu lazima mpambane haswa .
Mimi kijijini hapa namiliki Corolla yangu Safi kabisa na ndiyo gari pendwa kwa kukodiwa kwenye maharusi yao na zaidi ni gari pendwa la diwani kuazima ili akague miradi kupitia mambo hayo kiukweli nimetokea kukupenda sana hili gari na vile hakali mafuta kaniachia hela ya ulanzi ni gari ambayo naikubali .
Kwahiyo nawiwa kusema nahisi hili gari la urithi limemaliza kiu ya Mimi kumiliki gari lingine na sijawahi kuwaza kubadili aisee .
Note :nakopesheka Mimi Kama mtumishi kwa hiyo hivyo vyuma mlivyotaja nikiamua naweza kuvipata Ila nimeridhika na Corolla yangu ,kiasi nimeamua kubandika number plate ya jina la ukoo wetu 😃
Kaka Ndege Tai tukiacha upya hii inaweza kuwa na utofauti gani na Corolla yangu Kaka maana hata muonekano ziko sawa na yangu nimeibimp juu kidogo ?PREMIO OLD MODEL 1790cc
Hii gari naielewa sana na nitaanza nayo maisha..
Mziki mnene
Sport Rims kali
Humo ndani siti kali nitafunga
View attachment 3160521
Hapa Sina picha Kaka na pia niko mbali na nyumbani ila Kama nikirudi ,naomba nifanye hivyo ndugu Kama hautajaliChifu unaweza nisogezea hiyo mashine niione
IpoHakuna Jimny ya 5 doors.
😂 noma sana
Chuma haswa 🙌
Hii gari interior yake imetulia sana, ukiiongezea ujuzi kidogo +siti nzuri huwa inakuwa nzuri zaidi.PREMIO OLD MODEL 1790cc
Hii gari naielewa sana na nitaanza nayo maisha..
Mziki mnene
Sport Rims kali
Humo ndani siti kali nitafunga
View attachment 3160521
Hizi wanaziita Quantum kaburu anazo za kumwaga na bei sio kubwa Wazulu wana jina lao Sesifikile..Toyota hiace commuter
View attachment 3160573
Hii kitu TZS ngapi? Body na mwonekano vinavutia hasa.