Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

Screenshot_20240930_151424_Instagram.jpg
 
Najua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.

Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna gari inayokunywa mtori au supu.

Hii ndiyo gari ya ndoto zangu, ntanunua no matter what.

View attachment 3063171
Gari yoyote isiyo kua ya chini Chini in mwijaku voice.
 
Back
Top Bottom