Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Gari yangu umeibaChevrolet camaroView attachment 3063945
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari yangu umeibaChevrolet camaroView attachment 3063945
Hii gari mwaka 2011 kipindi Sinza inawaka kila sehemu pa moto pale Mori Big Born petrol station nilimuona jamaa anashuka kwenye Discovery 3 yake akaenda kumng’ang’ania mtu atangaze offer yoyote ampe hela amwachie Glanza yake,ilikuwa kama kituko lakini haikuwa utani jamaa alikuwa anamaanisha.Haswaa
Hii bei ya Ulaya ila ukiipata ya kutoka Japan lazima bei itakuwa chini kidogo
Ni Imani yako …binafsi nikijinenea kitu asilimia kubwa nafanikiwa mambo ya kujinenea kushindwaa sitaki kabisa😀 kama hapa naamini nitaendesha Velar tena kwa muda nilioplanhaya maneno yenu ya motivational speaker ndio nisiyoyapenda....eti ulimi unaumba, nyoooooo!!!!
mpaka leo hii miaka nenda udi ulimisi unasema nitagegeda demu wa jf lakini ubao mpaka sasa bila bila, naendelea na nyeto ya mlenda vugu vugu na kubusu ukuta
Vanguard zenye bei ndogo ndiyo zinauzwa sh ngapi MkuuTatizo la hii Harrier na Vanguard siku hizi zimekuwa kama IST zenye bei kubwa zikipita gari kumi zenyewe unakuta ktk hizo kumi zipo tatu hadi ladha inapotea.
Kama mpenzi wa SUV cars kama ikibidi mtu kununua anunue brand unique kama Hyundai KIA zipo gari nzuri zenye sifa mfanano na hii.
😂😂😂 Nilimaanisha ni IST zenye bei kubwa.Vanguard zenye bei ndogo ndiyo zinauzwa sh ngapi Mkuu
Aisee huu mchezo wa kuvuana gari wanao sana waarabu wale wa mafutaHii gari mwaka 2011 kipindi Sinza inawaka kila sehemu pa moto pale Mori Big Born petrol station nilimuona jamaa anashuka kwenye Discovery 3 yake akaenda kumng’ang’ania mtu atangaze offer yoyote ampe hela amwachie Glanza yake,ilikuwa kama kituko lakini haikuwa utani jamaa alikuwa anamaanisha.
Jamaa alikuwa amekafunga mziki mzito amefungulia sauti ya chini sana inasikika na aliye karibu na kameoshwa vizuri kanang'aa aisee,sikujua waliishia wapi lakini reaction ya yule jamaa wa discovery ilinifanya niiheshimu sana hii gari.
Tupo wengi broKila nikiangalia movie yoyote ya Mr bean huwa natamani ile gari yake
Najua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.
Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna gari inayokunywa mtori au supu.
Hii ndiyo gari ya ndoto zangu, ntanunua no matter what.
Nimeapa lazma ninunue discovery hata bovu
Nimekuelewa Mkuu😂😂😂 Nilimaanisha ni IST zenye bei kubwa.
Kwamba IST ni nyingi kwa sababu zinavutia na bei zake ni ndogo kumfanya kila mwenye hela ndogo kuzinunua na hizo mbili Harrier na Vanguard ni bei kubwa zinavutia kiasi kumfanya kila mwenye hela nyingi kidogo kuzinunua.
Hii chuma naipambania mpaka niiendeshe
Tatizo huku tulipo hizo kazi za kuchapa ili kupata hela hiyo hakuna mkuuPia uwe chapa kazi sana Kama mimi
Nimefanya kazi miaka 44
Nashukuru Mungu nina afya nzuri na kustaafu kumekaribia sio mbaya nikijifariji kwa kazi nzuri 😄
Fwaaaalaaa 🤣🤣🤣haya maneno yenu ya motivational speaker ndio nisiyoyapenda....eti ulimi unaumba, nyoooooo!!!!
mpaka leo hii miaka nenda udi ulimisi unasema nitagegeda demu wa jf lakini ubao mpaka sasa bila bila, naendelea na nyeto ya mlenda vugu vugu na kubusu ukuta
Zinaliwa na wachache wenye tamaaTatizo huku tulipo hizo kazi za kuchapa ili kupata hela hiyo hakuna mkuu
Unaishia kupata hela ya ugali tena Kwa mbinde